Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hilo ni tatizo la viongozi wetu, kwa ujumla viongozi wetu ni watu wa kujipendekeza kwa wakubwa zao ili kulinda vyeo vyao, zaidi ya 90% ya viongozi wetu wa ngazi mbalimbali hawana uwezo katika nafasi zao, wengi hutegemea huruma za wakuu wao ili kubaki katika nyadhifa zao, njia pekee ni kujipendekeza na kusifia rais aliyepo madarakani.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Usanifu munjarabu kabisa
 

Attachments

  • Screenshot_20220524-212915.png
    204.3 KB · Views: 34
Kwa ushauri tuu , huu ujinga na upupu ulio weka hapa kawaonyeshe wakunya wenzio ili kuwapa moyo... Na ukweli ndio huuu, [emoji116]..ivi unajua hata viwanda vilianzia British, lakini wengine wakafanya copy and peste na kuupgrade...
 
Ongezea Njombe bus Terminal
 
wabongo, najua hii ni uchungu sana.😖😖😖 ila mtakuja tu kuzoea

mtanunua tu yenu skumoja. mzidi kushikilia imani.. mtakuja kuonekaniwa..

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…