Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Inauma hii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Leo nimejifunza jet fighter za Tanzania ni Chinese fake products.
U have only five old fighter jets ndio maana tunawachezea tunavyotaka cz tunajua mkileta fyoko fyoko tunamtoa madarakani rais wenu tunaweka tunayemtaka sisi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji109]
 
Nitajie katiba ya nchi moja duniani iliyo na makamo was Rais ambaye Rais anapofariki au anapokuwa incapacitated harithi madaraka! Hivi unajua power vacuum inaweza kufanya nn kwa usalama wa nchi?
 
Sasa hivi si unaona wameambiwa live bila chenga mbona hamumsifii kiongozi mkuu?Wakuu wa mikoa na Wilaya watakuwa wameona ya nini kusifia ujinga?
Tatizo la kiongozi mkuu kazi yake ni kusema tu "nendeni mkafanye haya..." Haoneshi kuguswa na upigaji uliotukuka, ni km vile yeye ndiye anayewatuma wakapige. Ufisadi ukitokea haoneshi kuguswa kabisa, nammis sana Magufuli wallahi na sijui nitampata wapi.
 
Mkuu umenichanganya kidogo, "theft" au "safety"?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…