Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sure, halafu ni kama whole district mall sababu hakuna kitu kariakoo utakosa, na bei ni sawa na bure!
 
Kama ni kweli hii habari inasikitisha sana, kwahiyo alikodi hotel nzima mwenyewe?
Hizi gharama kwa uchumi wetu huu?[emoji848][emoji848]

Yeye alikua kwenye presidential suite kwenye hiyo hotel. Ni nouma!

Just imagine, Yeye yuko sijui Ghana, Vice president yuko Switzerland na ni juzi tu huyu Vice alikua huko Uarabuni akihudhuria Misa kwemye lanisa gani sijui!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Nyie wenzetu sijui nani kawaroga.
Wame suspend kuanza kutumia Green Park Terminal until further notice (indefinitely). Ilitakiwa waanze kutumia rasmi tarehe 24 May yaani kesho. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…