Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkiambiwa upgraded MGR yenu ni ghali bila sababu zozote za msingi mnakimbilia kutetea upumbavu.
Uliambiwa na nani SGR ya umeme Tanzania hakuna land compensation?

Specification! [emoji23][emoji23][emoji23]

View attachment 2231461
Land compensation in our case crosed the 30 billion Kenya shillings mark. Sijui hizo ni trilioni ngapi hela za madafu.
And then land compensation wasn't just in two regions like I have seen above. It was along the entire stretch
 
Mkiambiwa upgraded MGR yenu ni ghali bila sababu zozote za msingi mnakimbilia kutetea upumbavu.
Uliambiwa na nani SGR ya umeme Tanzania hakuna land compensation?

Specification! [emoji23][emoji23][emoji23]

View attachment 2231461
Tatizo lao ni vyombo vyao vya habari na viongozi wao kwa muda mrefu wamekuwa wakiwajaza ujinga na wao wenyewe bila kuchuja yamekua yakiimba Kama mazuzu, Wala hawamjui maana ya serikali kuwa ndio yenye kumiliki ardhi, wajinga Sana hawa jamaa
Tony254

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Haya majaruba unayatolea Maelezo saa ngapi? ๐Ÿค”

 
coodip1 Kuendelea na wazo langu ni kwamba ikiwa kuna junction hata moja ambayo haina interchange basi hilo barabara haliwezi kuitwa expressway. Hii ni kwa sababu magari yatalazimika kupunguza speed zitakapofika kwenye hio junction, kumbuka kwenye junction kwa madereva tunajua kwamba lazima usimame na "you give way to vehicles on your right." Kisheria dereva analazimika kusimamisha gari kabisa na kupeana nafasi kwa magari ambazo zinatokea upande wa kulia. Sasa kwenye interchange hakuna kusimama ili kupeana nafasi kwa magari zinazotokea upande wa kulia. Hii expressway ya Kenya ya 27 kilometres mwendo ni nywee hata kwenye hizo junctions 10 hakuna kupunguza speed, speed ni almost constant katika the whole 27 kilometres. Pia hakuna vidhibiti mwendo (bumps) kwa sababu hizo pia zitapunguza speed na pia kwa sababu hakuna wavuka njia.
 
Who is the developer of Avic Town? And who is the developer of Kigamboni city? If these two projects have different developers how can they be the same thing?
Kigamboni city ni master plan ya Kigamboni there are several developers kwenye huo mradi Avic being one of them, NSSF pia etc.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mbona nyumba ni tano tu.?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Ni city ama ni kitu gani.?
I know how much it pains you ila utazoea tu

Phase one is sold out ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚

Second phase


And third phase is loading ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ