REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,668
- 11,674
Project yenyewe ni few 100 million $, halafu ni loan.Project nyingine kubwa of this magnitude ni baada ya 10 years while us we implement multiple large scale projects concurrently. Na hiyo ndio tofauti ya chumi zetu hizi.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Uko sawa, nilikua nataka hawa wanjaa-njaa wakikenya waone umbali halisi.Ahsante mkuu,ndio maana nikaandika zaidi ya km 500
360 kwa siku nzima au kwa route moja? Unazungumzia 7000+ ya Tanzania hapoThis isn't new information Mr ndinda, in fact the sooner pesa itarudi the better . Maximum charges are 360 from end to end
but si u hate trees and forests so much u pipo.! you guyz are more for pure concrete structure city... am only perturbed to hear for the very first tyme, one tanganyikan say, 'dar is so green'.... 🤔🤔🤔
We hate trees? What about this!but si u hate trees, and forests so much.! you guyz are more for pure concrete structures jungle... am only perturbed to hear for the very first tyme, one tanganyika say, 'dar is so green'.... 🤔🤔🤔
Values of all goods and services produced in a certain country or area at a period(year)Kwani gdp manayake nn?...
Sijazungumzia ubora au chochote nimezungumzia uzinduzi kuwa umefanyika jana wa km 350 za lami.Labda hapa ndipo hatujaelewana.hahaha[emoji38] .. mbona hapa ni maharashtra, india sana mzee. niliwaambia bongo nyinyi hamuna road signature za nguvu, mkaleta ubishi
View attachment 2230493
nilimwabia gezaulole alete ata moja ka hizi za Ahero-kisii junction, ali gwaya na kisha kucheza chini ya waba View attachment 2230496View attachment 2230501View attachment 2230507
Ndio hapo nashangaa wanabisha eti Tabora hatuwezi kuwa na barabara ya 350 km,picha inaweza kuwa siyo yenyewe ila ukweli imezinduliwa jana.Hao wapuuzi maendeleo yote wameelekeza nairobi,so wa usishangae akibisha barabara kama hiyo kuwepo tabora more than 500 km kutokea dar
Wow.! but I like photoshop sooo much.... coz it can realy create wonders..We hate trees? What about this!
View attachment 2230549
View attachment 2230551
View attachment 2230552
1. Julius Nyerere Hydro Electric power plant USD 3.2bnHebu taja hizo miradi mikubwa mnazotekeleza one by one
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo ni mwendawazimu hajasomaHeeheee. Ati kwota za majeshi bongo zinakaa hivi. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Kwahiyo unakubali hapa kuwa Upper Hill sio cbd sio?Hakuna picha ya cbd hapo bongolala. picha zote zimepigwa Upperhill
900km from Dar mkuuHao wapuuzi maendeleo yote wameelekeza nairobi,so wa usishangae akibisha barabara kama hiyo kuwepo tabora more than 500 km kutokea dar