There's nothing you can say to argue that with 400k pupils sitting national exams, Tanzania is doing better than Kenya that has 800k pupils sitting national examinations. The difference is like day and nightHapo sisi watoto wote wenye umri wa kwenda shule wamechukuliwa elimu ni bure. Truancy is punishable by law in Tanzania
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kilaza nacheka huyo kilaza mwenzako aliyeleta computer generated imagery then alluding that itatuchukua miaka mingi kufika kiwango hichoSasa wewe ngedere unacheka nini[emoji849][emoji849]?
Wengine bado hawaelewi, concept hiziHizo ni definition ya kimasikini, matajiri huwa wanamaana tofauti wanaposema asset. Kwao gari ni asset pale tuu inapokuingizia pesa (mf daladala, taxi, rental n.k). kama haikuingizi pesa inakuwa liability kwasababu utaigharimia bima, mafuta, usajili na matengenezo... wakati thamani yake ikishuka.
Exception ipo pale tuu unapoitunza kama classic car, ambapo thamani yake huongezeka kila mwaka kutokana na rarity yake.
Matajiri huwa wananunua jets ili kununua muda wa kufanya biashara kubwa haraka na hivyo kuzifanya jets hizo kuwa asset.
Kinaitwa slang, cut me some slack. usitamaukwe sanaKingereza gn hiki?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]Tumetengeneza muvi bana na kwenda NY kufanya shopping, we wa wapi?
Sasa wewe hauoni hiyo rate yenu ya kuzaliana ilivyokubwa mpaka mkawa na watoto almost a million of the same age group sitting for exam!!!!There's nothing you can say to argue that with 400k pupils sitting national exams, Tanzania is doing better than Kenya that has 800k pupils sitting national examinations. The difference is like day and night
Hahahahaha ondi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yap! Ni rikizu kwa kuwa chaa waha wangaji wa nyakike.
Ni hatari kaka, wee ngoja atoke huyu alafu huyo anayekuja ndio atajua ajui mana serikali itakuwa inadaiwa mara mbili ya Kunyaland.kazi inaendelea kwa kasi sana, tril15 ndani ya mwaka wakati Magu alitumia tril 26 kwa miaka 5
Tuko mbali sana kwenye hii sekta. Siku hizi hospitali zetu wanajaa wagonjwa kutoka nchi zote za EA aisee.Kunyaland this may take you forever!
The kind of gape between us
Bongolala, stop looking more stupid and out of touch with the reality than you already are.Sasa wewe hauoni hiyo rate yenu ya kuzaliana ilivyokubwa mpaka mkawa na watoto almost a million of the same age group sitting for exam!!!!
Maana yake nini? Out of 55m kenyans; children under 18 are 27m, adults of Reproductive age 17 million the rest are old men and women. Sasa out of 17m adults of Reproductive age lets say couple pair ni 8 million sasa out of these 8 million couple pair mnazalisha watoto 800k per year ambao wanakuwa registered kwenye shule zenu in a single registration year hamuoni hiyo percentage ni kubwa sana ? Maana yake nini? Mnapigana miti sana kila mwaka mnazaliana by 10% per couple pair.
Lastly the numbers can also be explained by back log of pupils who did not attend school previously incorporated into a single registration year unless otherwise the numbers are consistent on year by year basis.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Yah non current asset kama huitumii ku generate income inageuka liability, mfano gari yako private ni liability au nyumba yako unayoishi mwenyewe pia ni liability kwasababu unatumia pesa kuzihudumia na haziingizi pesa.Ni kweli definition za kimasikini, Na jamaa anasisitiza ni aibu kusema gari sio Asset kulingana na matumizi yake, ila inategemeana na circle inayo m influence [emoji1787]. Kimasikini sikini hata nyumba wanayoishi wanaita ni Asset.
Huyo Sukuma Gang aliyeandika ujinga na wewe kuuwasilisha hapa anaonyesha jinsi alivyojaa mausaha kichwani..Where are the defenders of Kikwete's side chick?
You cannot prioritize census over health, election budget has no relation to health neither is it allowed to compromise it, universal health coverage has been adopted as SDG goal, implemented in 2013 when it was introduced with the launch of the free maternity service called Linda Mama and prioritized under the big 4 uhuru agenda...the index has been rising consistently since implementation in and everyday nearing 100% UHC wakati haijaanza pale Tz... You need to reconsider your priorities.Budget inategemea na size ya Uchumi na vipaombele kwa wakati husika..
Pili budget kubwa sio necessary na efficiency itakuwa Bora maana wote tunajua jinsi Kenya mlivyo mabingwa wa upigaji..
Tatu,mwaka huu tuna zoezi la sensa na pesa nyingi zaidi ya bil.600 zimepangwa huko,hata huko Kenya mwka huj bajeti yenu ya Afya itapungua kwa sababu ya Uchaguzi..
Kuhusu Issue ya universal Health care,implementation itaanza next financial year kwa sasa Serikali inamalizia some logistics na arrangements.
Hatupendi shule je chakula tunachowaletea mnakula mnashiba mnapata kujaza choo ni matokeo ya uchawi na co shule?Inaonyesha kwamba hamupendi shule, dalili ya umasikini uliokithiri. Sisi sote tunajua Tanzania is the most populous country in EA
Sorry wewe ni mpumbavu..Uliwahi ona wapi Watzn wanafuata huduma za msingi Kunyaland?You cannot prioritize census over health, election budget has no relation to health neither is it allowed to compromise it, universal health coverage has been adopted as SDG goal, implemented in 2013 when it was introduced with the launch of the free maternity service called Linda Mama and prioritized under the big 4 uhuru agenda...the index has been rising consistently since implementation in and everyday nearing 100% UHC wakati haijaanza pale Tz... You need to reconsider your priorities.View attachment 2228902
"Nchi ambayo watu hawajaenda shule inifanye nipanick"[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mtanzania hawezinifanya nipanick. Nchi ambayo watu hawajaenda shule inifanye nipanick? [emoji23]
π π π Since 2018 hizo romours bado mnangojea? Unajua maana ya romours ama contemplations kweli? π π Lakini sikulaumu watanzania na Kiki ni chanda na peteMchina kushika Mombasa Port kufidia pesa yake ya sgr ππππ
View attachment 2228876
View attachment 2228877
Sisi ndio tumeandika au ni Auditor General wenu? Huyo ndio kamtolee mapovu.π π π Since 2018 hizo romours bado mnangojea? Unajua maana ya romours ama contemplations kweli? π π Lakini sikulaumu watanzania na Kiki ni chanda na pete
π π You always resort to anger na matusi mkiambiwa ukweli. Hata USA in 2022 bado ina prioritize health bongo ndo nani? Ama mtafanya juju na ku prioritize witch doctors π π I won't even be surprisedSorry wewe ni mpumbavu..Uliwahi ona wapi Watzn wanafuata huduma za msingi Kunyaland?
Niwekee namba za Health facilities mlizonazo Nchi nzima na mimi niweke za Kwetu.