Hapa hakuna battle my brother. Tuko mbele yao in almost everything. Kazi yao ni kukana every data that puts us ahead of them. Nashangaa mbona hawajakana hiiWe double them in everything, even the total number of schools we double them.
In Kenya Primary Schools were 33,000 as of 2016 while in Tz Primary schools were only 17,000 in 2018.
Secondary schools Kenya has 10,000 Tanzania has 4,800
View attachment 2228371
View attachment 2228372
Na zingine nyingi zinakuja,Director wa TPA alisema Jana..Muda huu kuna meli tatu (Vehicles Carrier) zinashusha magari bandari ya Dar Es Salaam.
itaje sasa ni miradi gani hio tuskie au haijatajwa π€£π€£π€£π€£π€£
Kwani huna macho? Ama kusoma ndio shida kwako.itaje sasa ni miradi gani hio tuskie au haijatajwa π€£π€£π€£π€£π€£
ππππππππUnaongelea kitu gani mbona hueleweki wewe. Pesa yetu unatupangia matumizi mbwa wewe.
Pesa yenu gani? That bridge is a loan from Japan.Unaongelea kitu gani mbona hueleweki wewe. Pesa yetu unatupangia matumizi mbwa wewe.
Mbona juzi mmekimbia juu ya expressway tuliwauliza?So bridge imefungwa watu waangalie boli, wafrika bana [emoji848] π
ukipata link kua dam ni loan na ukipata kua sgr phase one, three and five ni loan nitag nifunge acc sasa hvi ππππππKwani huna macho? Ama kusoma ndio shida kwako.
Tanzanite bridge= Loan
JNIA terminal 3 = Loan
Dam = Loan
SGR = Loan
View attachment 2228417
imagine tanzanite loan ni 82% na 18% from tanzaniaKwani huna macho? Ama kusoma ndio shida kwako.
Tanzanite bridge= Loan
JNIA terminal 3 = Loan
Dam = Loan
SGR = Loan
View attachment 2228417
Mafisadi wa awamu ya 5 waliolindwa wanashughulikiwa sasa πSerikali ya magufala ilikua ya ujinga sana View attachment 2228427
ukipata link kua dam ni loan na ukipata kua sgr phase one, three and five ni loan nitag nifunge acc sasa hvi ππππππ
Tanzanite ni loan ama sio loan?imagine tanzanite loan ni 82% na 18% from tanzania
sasa show me nairobi expressway nini kenya imetoa kwenye huo mradi tuone π€£π€£π€£π€£