You are one of the primary school dropouts. 🤣 🤣 🤣Ordinary level secondary education ni compulsory Tanzania na ni bure so hakuna mtu mwenye excuse ya kutompeleka mtoto shule kwa sababu yoyote ile
The only reason wakenya mna idadi kubwa ya wanafunzi ni kutokana na population kubwa mliyonayo kuliko Tanzania
Kuna mahali hapo juu nilisema sisi huwa hatuna tabia ya kuthaminisha vizuri mali zetu. Angalia GDP yetu, inaonekana ndogo lakini tunajenga Bwawa, SGR phase I, barabara na miradi mingine kwa fedha zetu.
Ukijumlisha tuu thamani magari ya Diamond (japo ni liabilty) yanafika zaidi ya $1 mil. Kampuni zake, royalties za kazi zake, brand yake, nyumba n.k jamaa anaweza kuwa na hata $100mil.
Lupita kwenye hizo filamu zake hana royalties, yeye ni mwajiriwa tuu anayelipwa mara moja kwa filamu.
Wewe Chamoto na Justinr nani aliwadanganya kwamba magari sio asset? mnasema eti kwamba magari ni liability? Mnatia aibu sana aisee. Mambo ya uhasibu wacheni kama hamyawezi. Mzee wenu The best 007 aliyesomea haya mambo aje awasahihishe.Ni kweli kabisa magari sio asset, lakini garama yake inafika 1m usd, mfano hii ya RR cullinan tu ni dollar laki sita na ushee exclude gharama ya kusafirisha mpka Bongo na kodi juuView attachment 2227886
So bridge imefungwa watu waangalie boli, wafrika bana 🤔 🙄Kitu kikiwa chenu bhana mnafanya mnavyotaka, sasa hawa jamaa zetu warongwe wajaribu hili kwenye Chinese Expressway uone mwenye barabara atakavyowatimua…..[emoji28][emoji28]View attachment 2227915
View attachment 2227916
View attachment 2227917
View attachment 2227918
#ChampionsLeagueFinalWithaStyle.
#RoyalTour
#TheMightyTanzaniteBridge
hivi, kwako hapa inakaa slums ama among prominent cities of africa.!Slum la watu million 1
Nowonder kuna high number of primary school dropouts. Government schools ambazo munajivunia zina very poor performance. 🤣🤣🤣🤣 Yani hata ni aibu.Ordinary level secondary education ni compulsory Tanzania na ni bure so hakuna mtu mwenye excuse ya kutompeleka mtoto shule kwa sababu yoyote ile
The only reason wakenya mna idadi kubwa ya wanafunzi ni kutokana na population kubwa mliyonayo kuliko Tanzania
Oya wao wakiwa ndani ya compound ya embassy yao ujuwe wanaweza kufanya chochote watakacho na nyie hamuwezi kutia pua ndani ya hio embassy bila kibali chao. Hii ni kwa mujibu wa Vienna convention. Ujuwe compound ya embassy ya UK ndani ya Tanzania ni mali ya UK na territory ya UK na sheria za UK ndio zinatawala huko, sio sheria za TZ. Nyie hamuwezi kutia pua huko ndani eti mnakwenda kutoa hilo bendera.Uhuru umepitiliza sasa
haijazinduliwa ishapauka! Ni nn hii aisee?
And whereas nairobi is ahead of darslam in every aspect.!, mombasa is ahead of kampala and chigali in every angle.. !hivi, kwako hapa inakaa slums ama among prominent cities of africa.!View attachment 2227940View attachment 2227944
Sema fyu uone! Utawekwa kundi moja na Russia!Uhuru umepitiliza sasa
magari ni fixed na noncurrent assets!Wewe Chamoto na Justinr nani aliwadanganya kwamba magari sio asset? mnasema eti kwamba magari ni liability? Mnatia aibu sana aisee. Mambo ya uhasibu wacheni kama hamyawezi. Mzee wenu The best 007 aliyesomea haya mambo aje awasahihishe.
Nairobi kutamu. That must be Lang'ata area. Kule Dar drove image kama hiyo ungeona uswazi uliotapakaa kila mahali
Ni kweli.magari ni fixed na noncurrent assets!
Miguna miguna alikuwa na machungu sana kusikia kwamba Lupita anatafutwa na Serikali ya Kenya ili kupewa nafasi ya tourism ambassador wakati yeye alitupwa nje kama mbwa. Huyu jamaa huwa anachangamsha sana.Huyo lupita mwenyewe hataki hata kusikia upumbavu unaoitwa Kenya 😂😂😂
Lupita alipinga madai hayo kwamba hapatikani.Huyo lupita mwenyewe hataki hata kusikia upumbavu unaoitwa Kenya 😂😂😂