Shida yenyu kubwa mliyonayo ni kila mmoja kujiona kijogoo cha mtaa kuparuana tu pasipo na sababu za msingi ilimradi kila mtu asikike. Hapa kidogo tu nitolee mfano wa siasa ila joto la jiwe amenishauri vizuri nisiongee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kweli wananchi complains are based on expectations and not necessarily what you have. Thika road - a road of 40km - alone has 28 footbridges na bado watu wanariot they want another yet kuna jiji fulani wanasema ndio 'the most biggest city in East Africa' lina footbridge less than tano na watu wako tu sawa. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Reminds me of how my South African friends complain about potholes in their country more than the rest of us when they have it way better. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umeona hawa walivyo wepesi wa kusahau dhiki zao na waliowasaidia. Na wanatikisa kiberiti kuona msimamo wa mama ukoje.
Yaani hiki cheo ni shida mwendo wa mikasi tu kama kinyozi [emoji4]Kwani hujawahi sikia kwamba hicho cheo unakabidhiwa mkasi wa kuzindulia miradi,kuweka Jiwe la msingi na kumuwakikisha Rais..
VP ni ceremonial kwa hiyo usipokaa vizuri na Rais utapanda Sana miti na kushiriki mazoezi .
The second building is so nice,neaty and not shouting,very simple and classic.
hoja hapa haikua urembo...... hoja hapa ni kipajiAcha kuchekesha ndugu, yaani kwamba huyo ndio mrembo 😆😆😆..
Mrembo wa Tanzania awa miss World 👇
View attachment 2227123
Lupita Nyong'o akiwa na Babake Magufuli.Kwnn unamuita mu Africa mtu ambaye hajazaliwa Africa? Kama utatumia weusi wake mbona uwasaau kina pdidy, 50cent et al.
Huyu alikuwa kiboko yao chuki yote kwake kisa kimojawapo kilikuwa ni hiki. Tutafute masoko kwingine wenye kuhitaji mbona wengi tena kipindi hiki ambacho India imeban ngano yake nchi nyingi zinaweza kuyahitaji.Magufuli alikua ashawajua akili ndo maana aliwawekea vikwazo sasa Kuna haja gani ya kununua mahindi njee ya EAC wakati yaliyopo ndani yanatosheleza
Lupita Nyong'o akiwa na mamake Samia Suluhu.Kwnn unamuita mu Africa mtu ambaye hajazaliwa Africa? Kama utatumia weusi wake mbona uwasaau kina pdidy, 50cent et al.
Wazo zuri sana.Wampe wizara nyingi za kusimamia maana PM anazidiwa.
Wizara ya Mazingira si iko chini yake mbona hatuoni impact yake tulitegemea nchi angalau izidi kuwa ya kijani zaidi tuonavyo maana anaweza kuimudu kwa vile hana Wizara nyingi za kuzisimamia.Wampe wizara nyingi za kusimamia maana PM anazidiwa.
Lupita ni raia wa Kenya. Katiba ya Kenya inasema kama baba yako ni Mkenya basi mtoto wake pia ni Mkenya hata ikiwa amezaliwa nje ya nchi. Mtu aki-apply anapewa haraka sana. Tatizo nyie huwa sijui ni ushamba au ujinga. Hii aina ya citizenship inaitwa citizenship by family (jus sanguinis).Kwnn unamuita mu Africa mtu ambaye hajazaliwa Africa? Kama utatumia weusi wake mbona uwasaau kina pdidy, 50cent et al.
Wewe kweli hovyo Dubai na UAE ni vitu viwili tofauti. Dubai ni sehemu ya UAE. Ambayo ndani ya UAE kuna Dubai, Abu Dhabi na Sharjah kama sikosei makao makuu ni Abu Dhabi.heb nikuulize swali tu moja.? tofauti iko wapi ukisema Dubai na UAE. this two are intertwined or overlap
Mwenye kipaji ndio huyo Mtanzania aliyeshindahoja hapa haikua urembo...... hoja hapa ni kipaji
Shida yenu ni uoga. Yani mtu akisha kalia kiti cha uongozi hapo anakuwa kama mungu. Anaweza wanyea kwa midomo na mnyamaze tu kazi ni kusifia serikali. Ndio maana mna rasilmali kushinda nchi za Afrika Mashariki zote ukiondoa DRC yet kiuchumi mmeshindwa kuiongoza.Shida yenyu kubwa mliyonayo ni kila mmoja kujiona kijogoo cha mtaa kuparuana tu pasipo na sababu za msingi ilimradi kila mtu asikike. Hapa kidogo tu nitolee mfano wa siasa ila joto la jiwe amenishauri vizuri nisiongee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Okay, here is Lupita standing in front of Tanzanian flag.Wewe kweli hovyo Dubai na UAE ni vitu viwili tofauti. Dubai ni sehemu ya UAE. Ambayo ndani ya UAE kuna Dubai, Abu Dhabi na Sharjah kama sikosei makao makuu ni Abu Dhabi.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
FKF sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jua tofauti ya kusimama infront ya kitu na kushika kitu mr. Lab man.
Utalia sana. Another Kenyan making it big in the film industry is Eddie Githegi.Jua tofauti ya kusimama infront ya kitu na kushika kitu mr. Lab man.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app