The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Hapo uzinduzi ni bure wanapita hapo juu sasa ulitaka wasipite juu na ushamba mlionao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
si kawaida u knw tiktok memes is all about creating somethng thts out of this world. who can dare eat such kind of ugali, man's sweat being the salt.! yaak.!🤮Mbaya ni kwamba, wanajirecord as though wanaongea na Wakenya wenzao , wasijue wanatushangaza.
Familia gani Tanzania inaweka ugali kwenye friji?? aisee, mi sijawahi kuona wala kusikia.
Jamaa wana hali mbaya sana!
The fool pictured was a hero for saving that huge and dirty Ugali!🙄🙄View attachment 2226353
Nitarudia hata mara mia moja. Hapa ni Kenyan forum bana. Kelele za soja peleka kwa forum zenu.Picha moja unairudia mara 10 huo ni ujinga.
Dawa imeingia vile inafaa. 🤣 🤣 🤣Naona mmeanza kuiga Tz kwenye quality, nyie hizo sio level zenu, level zenu matope roads kama Thika. Hapo cku c nyingi itakuwa kama iliyojengwa mwaka 1970.
DiamondPlatnumz, levo yake africa.....Kunyans kila siku wanasema wao ndio wanafanya wasanii wa Tanzania wafanikiwe
Huku ni West Africa ivory coast French speaking country lakini mtanzania anafanya maajabu na anatangaza Tanzania yetu, mkunya hafiki hizi levels hata tukimpa miaka 5000
[emoji23][emoji23][emoji23]Nitarudia hata mara mia moja. Hapa ni Kenyan forum bana. Kelele za soja peleka kwa forum zenu.
Huyo lupita anayejiita mmexico? Lupita lini katangaza Kenya? 90% of her fans and audiences don't know her Kenyan origin side, diamond anatangaza Tanzania kwa kiswahili na bendera, leta mahali lupita kabeba bendera ya Kenya!DiamondPlatnumz, levo yake africa.....
Lupita Nyongo ni global Icon, ata ku win the most sort after Oscar🏆 Award !
Lupita aka the wife of T'Challa View attachment 2226793View attachment 2226794
eti sasa mbongo ajipate katika hizi world stage... 🤔
View attachment 2226795
bakini tu kwa level yenu, na huyo DiamondPlatnumz wenu tafadhal......View attachment 2226813View attachment 2226839
Wacha upuuzi. Kwanza, Baba ya Lupita ni mtu maarufu sana Kenya. Baba ya Lupita ni governor wa Kisumu kwa jina Professor Anyang Nyong'o. Lupita alizaliwa Mexico wakati baba yake alikuwa anafundisha katika university huko Mexico.Huyo lupita anayejiita mmexico? Lupita lini katangaza Kenya? 90% of her fans and audiences don't know his Kenyan origin side, diamond anatangaza Tanzania kwa kiswahili na bendera, leta mahali lupita kabeba bendera ya Kenya!
Na lupita huwezi kumuweka level 1 ya umaarufu na diamond
lupita ana beba bendera ya kenya... hivi, hii pamba aliyo inyuka ya samawati, iliitwa 'The Nairobi Blue'.. next minute, kila binti duniani kote, alitaka sare kaa hioHuyo lupita anayejiita mmexico? Lupita lini katangaza Kenya? 90% of her fans and audiences don't know his Kenyan origin side, diamond anatangaza Tanzania kwa kiswahili na bendera, leta mahali lupita kabeba bendera ya Kenya!
Na lupita huwezi kumuweka level 1 ya umaarufu na diamond
Okay! Asante sana mkuu nimekupata vizuri sana.Mkuu Huu Ni mkutano wa wakuu wa nchi Wanachama wa jumuia ya madola utakaofanyika Kigali kuanzia 20June to 26 June,2022.
CHOGM-Commonwealth Heads of Government Meeting.
Wamesema yupo contractor anayeiangalia. Hizi picha tuzitunze tutazitumia kama reference.Naona mmeanza kuiga Tz kwenye quality, nyie hizo sio level zenu, level zenu matope roads kama Thika. Hapo cku c nyingi itakuwa kama iliyojengwa mwaka 1970.
Hata mkwanja pia kampita.Huyo lupita anayejiita mmexico? Lupita lini katangaza Kenya? 90% of her fans and audiences don't know his Kenyan origin side, diamond anatangaza Tanzania kwa kiswahili na bendera, leta mahali lupita kabeba bendera ya Kenya!
Na lupita huwezi kumuweka level 1 ya umaarufu na diamond
It's like the so called ceremonial tittle. Huwa sioni mandate yake kwenye serikali yake.Mwanzo wakati anaanza alikuwa anatoa maagizo lakini baada ya muda akawa kimya hadi leo, na siku zinavyozidi kusonga mbele ndivyo anazidi kuwa mpole.
Kweli cheo cha umakamu uraisi hamna kazi, maana skuizi mpango kazi yake kutembelea misikiti na makanisa na mazishi