Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


wahitaji roads 20 ngoja niwaongezee

15. Lumumba road
16. Uhuru road
17. Morocco to Tegeta road
18. Shekilango to Bamaga road
19. Coco beach road
20. Road ya Fire to Serander bridge mnaitaje? UN road?
 
Ziko lakini huwezi compare na Dar amabayo ni main road pekee ndio ziko paved.
Mbona nyingi humu picha zake zinawekwa mpaka mtaa unatajiwa kabisa,muda huo unakuwa umeshavaa miwani [emoji41][emoji41]??
 
wahitaji roads 20 ngoja niwaongezee

15. Lumumba road
16. Uhuru road
17. Morocco to Tegeta road
18. Shekilango to Bamaga road
19. Coco beach road
20. Road ya Fire to Serander bridge mnaitaje? UN road?
Ila munarudia rudia manjia maanake hiyo Coco Beach road na Toure Road ni the same road. Vingine munaweka vistree vya 100m - 1km katikati mwa jiji kama Uhuru na Lumumba. Fanya hivi. Tupee list ya

1. Dual carriageways over 20km
2. Dual carriageways over 10km

na ukumbuke kuweka urefu wa barabara.
 

kumbe unajua barabara za Dar kuliko mim.. afu mnasema sis ndo tunawafilia nyie sana

why not mention yours first

ila kwenye dual roads, Dodoma region ndo baba lao East and Central Africa nzima
 

Dar hakuna dual lanes.
Dar dual lanes hazifiki kumi.
Dar dual lanes hazifiki ishirini.
Mbona unaweka bila km zake.
Hawa ndio kondoo. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Halafu mbona Huweki km? Heeheee, isijekuwa Thika Road pekee imezishinda hizo zote kwa urefu maanake Thika road ni over 60km na inaongezwa up to Nyeri phase 1 (153km) then up to Isiolo phases 2 and 3 (264km). Heehee
Thika road high way ni km 21.
 
Yet Nairobi is twice richer than Dar is slum😂😂

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…