Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


sema nn.. eti hawa nao baadae wataitangazia dunia eti na wao wana BRT[emoji1787][emoji1787]..
asee hii aibu lawama atapewa Rais ajae (nadhan ruto[emoji38])
 
Apo naomba nikukatae kabisa, umeraisisha sana , alafu na wonder kwanin watu wapo humu wamesoma uchumi wamekuacha ukaitafsiri GDP, km kitu flani tu, kma ulivyo sema GDP ni all values of all goods and services produced within the country at a certain period....lakina ambacho hukukieleza ni ikiwa nchi inafanikiwa kuwa na output kubwa kwenye goods na services inapelekea Gvt kupata mapato zaidi kupitia (kodi,fee mbali mbali)kitu kinacho sababisha kuwa na mabavu ya kuhandle vyema matatizo ya nchi mfano chakula,mafuta,huduma za maji,atc, ndio mana inafikia hatua nchi moja inaweza kopesha au kutoa msada kwa mwingine.
 
Ukiona hivyo njoo utie baraka kwanza nyumbani itakuwa asili inakuvuta.Saa nyingine ukiona unafanya kitu /vitu na haviendi sawa sawa, au unapawazia sana nyumbani hapo huna budi kurudi kwanza ili uweke mambo sawa n then uendelea na mambo yako.
Mkuu ni kweli kabisa yaan nina siku mbili ila sina amani tayaari nimeshamis kisamvu na chakula cha mtume🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
They have nothing to show as private property ndiyo maana wanapost picha zilizopigwa na watu wengine na c wao binafsi. Wao wana own mabuti yenye mashavu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nadhani wakunya wameona namna kijana anavyotakiwa avae.
Sio kijana unavaa kama mzee.
Ila ile tai na lile shati jeusi. [emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa yuko nyuma ya mda, ni time Traveller. Bonge la tai aisee au pastor mbwa yule [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…