Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona mradi umesimama hela imekata au hakuna political will.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Wako ila sio kwa level ya kuhongwa maji.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Pako vizuri kuna watoto aki ethiopia na wasomali ila siunajua napawaza sana home[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukiona hivyo njoo utie baraka kwanza nyumbani itakuwa asili inakuvuta.Saa nyingine ukiona unafanya kitu /vitu na haviendi sawa sawa, au unapawazia sana nyumbani hapo huna budi kurudi kwanza ili uweke mambo sawa n then uendelea na mambo yako.
 
Kilimo hakikupi utajiri huo unaoutazamia...Angalia kampuni ya Sumsung tu pekee yake inalipa kodi kiasi gani huko Korea, ama kampuni ya Boeing USA...wenye technology ndio wenye hela dunia ya leo
Sikumaanisha kilimo pekee tu ila nilitaka kusema kwamba pamoja na GDP ndogo waliyonayo lakini wanalima sana tofauti na nchi nyingi za Afrika, ardhi na rasilimali nyingine bado tunashindwa kutoka.
 
Zile habari Sukuma gang huwa hawapendi kuzisikia [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38].

Mama kaupiga mwingi huku kwenye Mishahara [emoji116]

View attachment 2224232
Sasa hapa kwenye kupanda kwa bidhaa napo pakoje hapa? Watu wanapenda kutangaziwa ingekuwa kimya kimya pia wangeona hajapandisha. Wafanyabiashara utadhani huwa hawajui kuwa serikali ina wafanyakazi wachache kuliko ambao wako sekta binafsi.
 
Sasa hapa kwenye kupanda kwa bidhaa napo pakoje hapa? Watu wanapenda kutangaziwa ingekuwa kimya kimya pia wangeona hajapandisha. Wafanyabiashara utadhani huwa hawajui kuwa serikali ina wafanyakazi wachache kuliko ambao wako sekta binafsi.
Hiyo dhana huwa haina ushahidi wa kiuchumi bali ni porojo za kutunga tuu..

Vyuma vitalainika Sana msimu huu,1.59 Til+bil.629 za sensa ni lubricants ya kutosha Sana hiyo itakayokuwa na multiplier effects kubwa Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…