Nakwambia Mrusi amewapa somo kubwa sana maana ndiye walikuwa wanamtegemea kwa nishati wakaona wakiwekeza Afrika watawageuka,sisi weusi hatuaminiki. Kumbe kigeugeu ni mzungu mwenzao.Kwajinsi walivyokuwa na shida ya nishati wataweka tuu mzigo kwenye LNG yetu. Halafu vile vijikelele ambavyo viko against EACOP sijavisikia hivi karibuni naona wenye wivu support toka kwa mabwana zao imekata sasa maana mabwana zao wamekabwa kende ile mbaya Mrusi nyoko sana [emoji16]
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mjinga wewe unanionesha vitu petty kama hivyo ambavyo havifiki hata $1m, nchi gani ambayo haina hzo infrastructures cheap.
Iko wapi hizo zenu cheap😂Mjinga wewe unanionesha vitu petty kama hivyo ambavyo havifiki hata $1m, nchi gani ambayo haina hzo infrastructures cheap.
Alafu ww jamaa mstaraabu ukigundua Lisa lako, hongeraFundi kitasa Sama boy 255 Geza Ulole poleni naona ni kweli mna 57 tcf ya lng. Hio site ndio imenidanganya. Ila the East African imesema ukweli.
Currently, Tanzania has proven natural gas reserves of 57 trillion cubic feet, with at least 49.5 trillion cubic feet of these far offshore in the Indian Ocean.
Tanzania LNG project talks drag on
The $30b plant has been in limbo awaiting the pact that governs rights and obligations of parties.www.theeastafrican.co.ke
Ni kweli mkuu, ila sio kwa Sasa, lazima tuwe na vipaumbele kulingana na "limited resources" tulizonazo, hatuwezi kufanya vyote kwa wakati mmoja.Tunaziitaji uhalifu unabadilika kila siku! Leo Panya Road sijui kesho watakuwa nani! Huwa sielewi kwann wizara ya mambo ya ndani hailioni hili? Au mpaka Al Shabaab/ISIS wabutue CBD ndo watakurupuka?
baada ya kula vitasa vya nguvu sasa nunua barafu kupooza manundu kwa bill yangu!Hako ka 0.3 trillion cubic feet of gas kenu hakawezi kutosheleza hata nchi moja ya Western Europe hata kwa miaka miwili. Angalau Mozambique wana 100 trillion cubic feet of gas.
Ukweli ni kwamba uchumi wa Tanzania unakua kwa Kasi Sana, Manufacturing sector ya Tanzania ni miongoni mwa sector zinazokua kwa Kasi Sana, sio Kenya pekee, hata South Afrika yenyewe, hali inabadilika,wananunua bidhaa nyingi kutoka Tanzania kuliko tunavyonunua kutoka South Afrika.Tanzania ime-overtake South Afrika na kuwa Kenya's top source of imports. Kenya inanunua bidhaa ya thamani nyingi kutoka Tanzania kushinda nchi yoyote hapa Afrika. Hii ni baada ya mama kuingia madarakani na kuondoa roho mbaya iliyokuwepo hapo awali. Kenya imedouble value of imports from Tanzania in the last one year.
Kenya imekuwa ikinunua bidhaa nyingi kutoka SA kwa miaka nyingi, sasa TZ imeshika nafasi ya kwanza kama source market hapa Afrika. SA ni ya pili.
On drawing board 👇You call it mtumba wakati nyinyi hamna commuter rail of that standard! Aren't these your commuter rail system?View attachment 2222383View attachment 2222384View attachment 2222385
Heheheheeee tuliwaambia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tanzania ime-overtake South Afrika na kuwa Kenya's top source of imports. Kenya inanunua bidhaa ya thamani nyingi kutoka Tanzania kushinda nchi yoyote hapa Afrika. Hii ni baada ya mama kuingia madarakani na kuondoa roho mbaya iliyokuwepo hapo awali. Kenya imedouble value of imports from Tanzania in the last one year.
Kenya imekuwa ikinunua bidhaa nyingi kutoka SA kwa miaka nyingi, sasa TZ imeshika nafasi ya kwanza kama source market hapa Afrika. SA ni ya pili.
Usiruke ruke sana. Kenya ili-import around $500 million au ukipenda $0.5 billion kutoka Tanzania mwaka uliopita. Total imports za Kenya mwaka uliopita kutoka nchi zote duniani ni zaidi ya $15 billion. Narudia tena $15 billion. Sasa percentage ya Kenya's import from Tanzania to total import niUkweli ni kwamba uchumi wa Tanzania unakua kwa Kasi Sana, Manufacturing sector ya Tanzania ni miongoni mwa sector zinazokua kwa Kasi Sana, sio Kenya pekee, hata South Afrika yenyewe, hali inabadilika,wananunua bidhaa nyingi kutoka Tanzania kuliko tunavyonunua kutoka South Afrika.
Hiyo ndiyo faida ya kujenga uchumi "from within", wasomi wetu wengi wanabaki hapa nchini ili kujenga uchumi, hatukimbilii Ulaya na Marekani au nchi zingine kwenda kufanya kazi ili kutuma "remittances" nyumbani.
Hili jambo la wakenya wengi kukimbilia nchi zingine ni tatizo kubwa Sana ambalo wakenya mnapuuzia lakini litawaletea athari kubwa za kiuchumi miaka ijayo.
Kama "trend" itaendelea hivi, Kenya itaitegemea Tanzania kwa 60% ya imports zake by 2030
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Tafuta excuse nyingine, western na European countries are equiped with these infrastructures, haimaanishi wako na terror threats...tafuta excuse nyingine betterKwani Tanzania tupo na shida ya usalama Kama Kenya?, Hatuna tatizo la "terror attacks" kwanini tuwekeze katika Mambo ambayo hatuhitaji?.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ila baba CCTV hazikwepeki!
MAS Intimates Kenya Limited is a scion of MAS Holdings, the largest apparel technology company in South Asia, involved in the offshore production of clothing items for leading global brands.
Set up in 2020, MAS Intimates (EPZ) employs over 3,000 skilled Kenyans in the production of top drawer apparel for leading fashion brands in line with the manufacturing pillar of the Government's Big 4 Agenda.
Speaking at Athi River in Machakos County during the launch of the factory operating under the Export Processing Zones programme, President Kenyatta said the huge investment is a testament of the decade-long groundwork laid under the #manufacturing pillar of the #Big4Agenda.
.
Mko na excuses moob 😂😂 si ukubali tu hamna...ila mwenzenu The best 007 ana claim kuwa hakuna infrastructure ipo kenya ambayo haipo tzHow do you expect us to divulge sensitive information to the Internet just like that? Think dont stoop so low.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Nyinyi wenyewe Ndio mlikua mnajishelewesha kama saivi mnataka kuongeza vat kwenye gesi inayotoka tzTanzania ime-overtake South Afrika na kuwa Kenya's top source of imports. Kenya inanunua bidhaa ya thamani nyingi kutoka Tanzania kushinda nchi yoyote hapa Afrika. Hii ni baada ya mama kuingia madarakani na kuondoa roho mbaya iliyokuwepo hapo awali. Kenya imedouble value of imports from Tanzania in the last one year.
Kenya imekuwa ikinunua bidhaa nyingi kutoka SA kwa miaka nyingi, sasa TZ imeshika nafasi ya kwanza kama source market hapa Afrika. SA ni ya pili.