ndughuri msuya
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 2,165
- 3,373
Mmarekani anataka kutia kitumbua cha mchina mchanga, anaona mchina anakwenda kutawala maeneo mengi ya kibiashara ktk AfricaHapo ni mvurugano kwenda mbele hawa wawili hawaendani ni washindani daima!
I couldn't help but not this desperate Tanzania craving for attention from Kenyans. I love how maturely Kenyans dealt with him. These guys really are insecure towards us.Go though this thread 😂
Kenyans are bright.... 😂😂 I'm surprised they're discovering this in 2022 😂😂😂😂
Wako live TBC fungua
OK WACHA TUONEWako live TBC fungua
Kuna wapuuzi humu ndani wako shallow sana juu ya global trade n opposing forces!M
Mmarekani anataka kutia kitumbua cha mchina mchanga, anaona mchina anakwenda kutawala maeneo mengi ya kibiashara ktk Africa
Right time ..i can even say wamechelewa
Competition means better terms and efficient you punda wa dobiKuna wapuuzi humu ndani wako shallow sana juu ya global trade n opposing forces!
Hakuna infrastructure yoyote ambayo ipo Nairobi ikakosa kuwepo Dar.Nyie hamna Ferris Wheel.
Kuna kitu unakitetea nyuma ya pazia genius.Kuna wapuuzi humu ndani wako shallow sana juu ya global trade n opposing forces!
Ndio hapo washindane atakayekuja na offer nzuri ndiye apewe mradi haoni ni faida kwetu Tanzania? Kumbe wakati mwingine ukiwa na akili nyingi na unajua vitu vingi unaamini mawazo yako ni bora kuliko wengine.Anajipa uhalali kwamba maneno yake ni sheria.Competition means better terms and efficient you punda wa dobi