Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wacha kujiaibisha anaitwa Lionel Messi na sio Lionel Mercy!
Wewe ndio unajiabisha,mimi likuwa namjibu yule tumbili kwa kuleta uzushi wa Makamba sawa na uzushi wa Messi na Royal tour..

Serikali inasema ruzuku ya mwezi mmja mtu anakuja na upuuzi wake wa eti ruzuku ya mwaka mzima
 
Kumbe mnapenda wachokoza sana watanzania hata wakikaa kimya mnataka waongee. Sasa ndio mtaona hadi matusi mapya
 
Ukraine hana ubavu huo na ulaya hauna ubavu wa kukataa kununua gesi kwa urusi ebu fuatilia vizuri, mafuta tuu yamemtoa jashoo itakua gesi ndio maana wameanza kutii amri kulipia in ruble
 
Kumbe urusi wakitaka kumaliza wanafunga gesi tu . Western Europe wananchi lazima waandamane na vita inaisha . Maana ukraine wameweza kucompete kwa siraha kuta nayo yaani Marekani na wanaulaya magharibi
Mrusi mbabe sana 😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…