Kwa uelewa wangu..Jameni hii mitungi ya chang'aa ndio mlikuwa mnaiita bullet train???
View attachment 2220429
Ebwanae mambo ni moto si mchezo. Halafu eti Watanzania hawana hela wakati mwezi huu tu wataingiza magari karibu 2500, mzunguko wake si mchezo kwenye mafuta na usajili. Ile ya juzi meli moja karibu magari 800 yalibaki hapa nchini,na zipo meli tatu kubwa bado zile ndogo ambazo zipo karibu kila siku.Wakati ile inashusha sasa hivi, kuna hii hapa pia inajongea taratiibu kuelekea Bandarini.
View attachment 2220439
Ona jinsi mlivyo wastaarabu 😂Endelea kujiliwaza na picha za uzinduzi ila kwa sasa mazingira ndiyo haya hapa, nani asiyejua nyinyi hamuwezi kutunza vitu kutokana na kutokuwa wastaarabu[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787]View attachment 2220177
Ni low quality sana. Sijui mlikuwa mnatucheka kwa nini.Kwa uelewa wangu..
For passenger trains..kuna mikataba miwili
1. Ya hawa Sung Shin
2. Then na hyundai
pic uliyoweka ni hawa sung shin..ambazo ni ya MGR.. for SGR, zitakuwa hizi EMU thou naziona low quality
View attachment 2220442
View attachment 2220437
Ya kutoka hyundai..zitakuwa hivView attachment 2220444
Hii Tanzania ambayo inaongoza kwa umasikini ama Tanzania nyingine? 🤔 🤔 🤔Aisee ni neema kubwa kuzaliwa tanzania tumshukuru Mungu sana!
Kweli sana brother wenzetu hata huny wana dharauliana simply mtu ametoka pande fulani au kabila fulani emu Tony254 nini maaana ya kehe maana kuna jamaa mmoja mkenya aliitwa hilo jina na mwenzake daaah jazba zilimpanda sana!Ni neema kubwa mno, kwanza ile amani ya moyo tuliyo nayo sisi Watanzania na furaha ni jambo la kumshukuru Mungu sana.Ebu fikiria unaweza kutoka Mtwara hadi Bukoba hujaulizwa kitambulisho chako, unafika huko unageuza unakwenda hadi Mbeya hujaulizwa umetokea wapi, bado unaelekea Arusha hakuna mtu anakuuliza wewe ni kabila gani.
Kote huko kuna watu unakutana nao mnapeana namba mnawasiliana vizuri, siku ukiondoka unaulizwa vipi ulifika salama ndugu yangu/yetu.Tayari ni ndugu maana umeshafahamika.
Watu wakiuliza wewe ni wapi au kabila gani wanapenda kujua asili yako ili kama ukipatwa na tatizo wajue ni jinsi gani watakusaidia au kuwasiliana na ndg zako, wengine utakuta ni watani wako mnaanza kutaniana lakini si kwa ajili ya kukubagua.
Hata humu kuna wakati tunaitana ndg yangu, mkuu, boss,rafiki yangu,bro ,but it is quite different from Kenyans.
They never understood, and still don't understand the meaning of the word "bullet train"Ni low quality sana. Sijui mlikuwa mnatucheka kwa nini.
Linganisha mitungi yenu ya gongo
View attachment 2220454
View attachment 2220455
Na hizi shikansen za Japan
View attachment 2220457View attachment 2220458
Unajifurahisha...Watanzania ambao hawajui tofauti kati ya mtungi wa chang'aa na bullet train tazameni hapa:
1. Tanzania bullet mtungi wa chang'aa train
View attachment 2220438
2. Japanese Shikansen bullet train.
View attachment 2220447View attachment 2220448
Jifiche kwenye pazia ila umenielewa 😁😁😁😁😁😁Hii Tanzania ambayo inaongoza kwa umasikini ama Tanzania nyingine? 🤔 🤔 🤔
Jifiche kwenye pazia ila umenielewa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ukweli wanaujua sema basi tu🤣🤣🤣🤣Huyo kondoo nilishawahi kumuuliza umasikini ni nini hadi leo hajanijibu. [emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa mmepigwa.Kwa uelewa wangu..
For passenger trains..kuna mikataba miwili
1. Ya hawa Sung Shin
2. Then na hyundai
pic uliyoweka ni hawa sung shin..ambazo ni ya MGR.. for SGR, zitakuwa hizi EMU thou naziona low quality
View attachment 2220442
View attachment 2220437
Ya kutoka hyundai..zitakuwa hivView attachment 2220444
Mbona tushawazoea?! Every data that paints your country in a negative way lazima iwe ya uongo/ya kupikwa/ya mabeberu. Living in denial is in your DNAJifiche kwenye pazia ila umenielewa 😁😁😁😁😁😁
(
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ukweli wanaujua sema basi tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na huo ukweli ndio hii hapa.(
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ukweli wanaujua sema basi tu🤣🤣🤣🤣
Mzee izo ni behewa za mgrWatanzania ambao hawajui tofauti kati ya mtungi wa chang'aa na bullet train tazameni hapa:
1. Tanzania bullet mtungi wa chang'aa train
View attachment 2220438
2. Japanese Shikansen bullet train.
View attachment 2220447View attachment 2220448