Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,626
- 7,180
Halotel ndo baba lao huyo voda ashakua mrembo saiviThat may be true, but it depends with the service provider example safaricom and jamii telecom are quite reliable, telecom and Airtel and mawingu etc hawana huduma nzuri,same with tz we have quite voda konect,etc who are doing a great job in terms of internet.
That may be true, but it depends with the service provider example safaricom and jamii telecom are quite reliable, telecom and Airtel and mawingu etc hawana huduma nzuri,same with tz we have quite voda konect,etc who are doing a great job in terms of internet.
Kweli mkuu wanajitahidi Sana! Na offers nzuriHalotel ndo baba lao huyo voda ashakua mrembo saivi
hakuna nchi ina enjoy huduma za internet kama Tanzania licha ya offers kuwa limited 🙂Umemjibu kitaalam sana ila juu ni kondoo hawezi kukuelewa.
Halotel sijawafuatilia kitambo sana kumbe wana offers nzuri.Kweli mkuu wanajitahidi Sana! Na offers nzuri
Yaaan wapo reasonable ukilinganisha na baadhi ya mitandao tz huwa natumia Sana Kwa ajili ya calls na bundles za sms,sema Mie kwenye issue ya internet natumia konnect TanzaniaHalotel sijawafuatilia kitambo sana kumbe wana offers nzuri.
I had already put that into consideration when I said that in that.That may be true, but it depends with the service provider example safaricom and jamii telecom are quite reliable, telecom and Airtel and mawingu etc hawana huduma nzuri,same with tz we have quite voda konect,etc who are doing a great job in terms of internet.
Welcome to the club
Poleni sana, sasa mmeshapata msaada wa crane kuja kuwalift hapo? By the way hayo ni mawazo ya majirani wanamuombea adui yao njaa.Kwa yeyote anaesema mradi wa SGR bongo utakua ni white elephant [emoji28][emoji28] huyo ana kichaa au haijui tanzania.. nipo now barabara ya morogoro karibu na mezani, kuna Gani la mizigo hapa limepata ajali, oohps imesababisha foleni kubwa mno, msururu wa magari ya mizigo, magari ya mafuta pamoja na mabasa uko na urefu sawa kama kutoka Ubungo straight to magomeni usalama au hata pale fire.. yo this is never a jock brodas
Sawa sawa mkuu nimekuelewa itabidi nije nifanye utaratibu.Yaaan wapo reasonable ukilinganisha na baadhi ya mitandao tz huwa natumia Sana Kwa ajili ya calls na bundles za sms,sema Mie kwenye issue ya internet natumia konnect Tanzania
Mkuu, tumia Kiingereza tutakuelewa vizuri zaidi, usilazimishe Kiswahili tunashindwa kabisa kukuelewa, jipe muda zaidi wa kujifunza Kiswahili.Angalia hii kilaza nayo!! ako nadhania kiswahili kitu maana sana kwa land ya Bongo?? wewe asijui hii lugha ya kibantu ndo maana hukusoma weye!
Lengo ni ili tuweze kukuelewa, ukweli hatukuelewi,.Ako haina maaana wewe!! huji nini kwa hapo?? acha hubishi...huna cha maana cha kuongea nyau kabisa
Tumeingiliwa, huyu ametokea wapi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tobaah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu, Kuna uwezekano mkubwa Sana kwamba zaidi ya 90% ya watanzania hawamuelewi rais wetu, hebu pitia "Comments" za watanzania katika hii TwitterSamia anaendelea kuweka legacy.
Moja ya habari ya kusisimua ni huu uamzi wa Serikali kuanza kutoa mikopo kwa vijana wa vyuo vya Kati vya ufundi na Veta.[emoji116]
View attachment 2218322
Hahahaha, ukishindwa lazima utafute jinsi ya kujiliwaza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Quality pia iko chini.
"Usikuje", ndio nini?Mimi ndume kabisaaa! ya Matata! usikuje kujaribu kabisaa hapa!