Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mk sunset corsa down at the nyahururu airstrip this weekend was between Audi Rs7 1000 horsepower and Nissan GTR 1500 horsepower
 
80% nikiwemo Mimi kingereza ni third language tulianza kuzungumza kikwetu,then kiswahili na baadaye kwenye masomo ndio tunajifunza kingereza
 
It is meant AND NOT ment mr English!
 
We nyumbu sgr imekamilika yote kinachosubiriwa ni trains testing and commission

Video zipo tele mitandaoni kalete ushahidi mahali ambapo hapajajengwa
Kama mnachelewesha uzinduzi wa kilomita 200 kwa miaka mitatu si basi itawachukua miaka ishirini kufikisha reli yenu DRC??
 
White elephant ni Lamu port iliyohudumia 11 ships for the whole year tangu ifunguliwe!
JNHPP will sell Kunyaland power aside other Tanzania's neighbors!
 
White elephant ni Lamu port iliyohudumia 11 ships for the whole year tangu ifunguliwe!
JNHPP will sell Kunyaland power!
By 2024 wakati mnazindua JNHPP tayari tutakuwa tunanunua umeme kwa bei nafuu kutoka Ethiopia kwa maana ujenzi wa njia ya umeme kati ya Kenya na Ethiopia umekamilika, tunasubiri uzinduzi wake soon. Turbines mbili za GERD ya Ethiopia tayari zinazalisha umeme.
 
Kwani ujenzi wa grid interconnection Eastern and Southern Africa power pool unapita wapi?

Mwaka wa 10 huu Ethiopia inajenga GERD!
 
Kama mnachelewesha uzinduzi wa kilomita 200 kwa miaka mitatu si basi itawachukua miaka ishirini kufikisha reli yenu DRC??
Reli ilishakamilika siku nyingi, trains zilikua delayed sababu ya Corona kitu kilichoathiri uzalishaji na uchumi wa duniani kote, usijitoe akili sababu siku hizi na wewe huna akili kama wenzako

Halafu tunajenga electric railway pamoja kuna overhead catenary kwenye railway bado kuna ujenzi wa more than 200kv transmission line along the railway na substations zake so usifikiri ni kazi ndogo kama kujenga huo mtambo wenu wa chang'aa

 
Hehe naona umeamua kujitetea vilivyo.
Mbona kila siku tunawaambia kwamba kiingereza sio lugha yetu na hatuithamini ukilinganisha na Kiswahili, kwa ufupi huku Tanzania ukishamaliza shule na Kama unaishi vijijini, lazima kiingereza utakisahau, hakitumiki kabisa, na ukisikika unazungumza kiingereza watu wanakucheka.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Sgr mombasa to porini. Malaba ni ndoto

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kama mnachelewesha uzinduzi wa kilomita 200 kwa miaka mitatu si basi itawachukua miaka ishirini kufikisha reli yenu DRC??
Hatujengi Kama ninyi, eti" phase" Moja ikamilike ndio phase inayofuata ndio inaanza kujengwa.

Kwa mfano "phase 1" imechelewa lakini "phase 2 & 5" hazijachelewa, hivi Sasa "phase 2" imefikia 80%

Wakati tunazindua ujenzi wa 'phase 2" ya Morogoro hadi Dodoma, mlishangaa Sana kwasababu "phase 1" bado ilikua haijafika hata 50%, mlipinga kwasababu mlitaka tujenge Kama ninyi, unakumbuka?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Ila jamaa wa lot 5 wanatakiwa kushikiwa viboko juzi Majaliwa analalamika CCECC wameondoa wafanyakazi JPM bridge na kupeleka SGR! Kwangu mimi lawama zangu ni kwa Prof. Mbarawa maana kampuni iki-violate mkataba inapaswa iwe penalized!

 
Uliza Ethiopia walitumia miaka mingapi kukamilisha ujenzi wa Hilo bwawa lao, zaidi ya miaka 10, na bado hadi Leo halijaanza kazi.

Sisi umeme wetu unasubiriwa nchi za SADC, hatuwezi kuwauzia nchi yenye madeni makubwa, hatutaki kukopesha, lipeni kwanza madeni yenu hadi angalau yabaki 36% ya GDP yenu Kama Tanzania, ndio tuwakopeshe umeme[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Muulize ya kwao mpaka leo haijafika malaba is it not a white elephant. 5 years from completion date in 2017 bado iko machakani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…