Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mchina hakujifunza English shuleni. Wewe Masomo umesomea kwa Kiingereza alafu huelewi Kiingereza. Sasa nini ulichosoma kama huelewi lugha iliyotumika?
 
Mchina hakujifunza English shuleni. Wewe Masomo umesomea kwa Kiingereza alafu huelewi Kiingereza. Sasa nini ulichosoma kama huelewi lugha iliyotumika?

Ndio maana mnatoa wasomi wa ovyo.
Shule mlienda kujifunza kingereza halafu kingereza chenyewe cha ovyo kimechanganyikana na lafudhi mbovu ya kikuyu. [emoji2961][emoji2961][emoji2961]
Zambia na Zimbabwe wanaongea kingereza safi lakini sijawahi waona wakijisifia ujinga.
Kelele zote halafu asilimia 2 tu ndo wanajua kuzungumza kingereza!
 
Utajuaje hawajisifii kama huelewi Kiingereza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…