babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,450
- 36,092
Unadhani hizo zote sijui? Focus na sehemu niliyoweka msitari rangi nyekundu.Sasa wewe ndio huna akili kuliko wote humu. Are you not aware that Palm Village Mikocheni is one of the projects developed by Ivory Tower real estate? The owner of Ivory Tower is a Chinese with Njuguna being of real estate services.
Badala yake jina liwe "Mwanza Rock Park (MRP)"Ningependa hili jina la kikoloni libadilishwe.
Wewe kingereza kimekupiga chenga bana, kojoa tu ulale juu venye utaendelea kuargue ndio utakuwa unajiaibisha😂😂🤣Unadhani hizo zote sijui? Focus na sehemu niliyoweka msitari rangi nyekundu.
Kwa hiyo huyo Maina sio managing director tena! [emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona unapenda kuongeza chumvi kishamba hivi?
Wewe kingereza kimekupiga chenga bana, kojoa tu ulale juu venye utaendelea kuargue ndio utakuwa unajiaibisha[emoji23][emoji23][emoji1787]
Do you know why nimekuambia kingereza kimekupiga chenga? Kama yeye sio managing director then why is he talking about the project and how they are managing the rental and purchases?Ni kawaida ya mkunya kukimbilia kwenye kichaka cha kingereza pale anapokamatika akiwa anapotosha na kudanganya.
Halafu Kiingereza chenyewe ni cha kuunga unga, alimradi tu aonekane "mjuaji". Mambo ya kizamani sana.Ni kawaida ya mkunya kukimbilia kwenye kichaka cha kingereza pale anapokamatika akiwa anapotosha na kudanganya.
Do you know why nimekuambia kingereza kimekupiga chenga? Kama yeye sio managing director then why is he talking about the project and how they are managing the rental and purchases?
View attachment 2215982
Sasa kama mmemsahau nini kumtaja taja humu kila siku? Kibaki pamoja na kuwafanyia mazuri kama msemavo hana mwezi tayari unyang'au wenu mmeshaunyesha lakini Magufuli ana mwaka bado mnamuimba daily, sasa jiulize impact yake kwenu ikoje?Kama kibaki ndio tumemsahau,who that f**l anyway [emoji57][emoji57][emoji57]
Iyo data ya makusanyo inakuambia nini?Kwa robo tatu za mwaka huu wa fedha TRA wamekusanya trill16.69 ongezeko la trill 3.1 kutoka mwaka wa fedha ulioisha mtu anakwambia SSH hafai...Watz ni watu wa hovyo sana huwezi fanya chochote wakaappreciate
Fact.Mkuu, watu wanacholalamika ni kupanda kwa gharama za maisha, kudhohofika kwa huduma za jamii(Umeme na zingine), kupunguza kwa nidhamu za kazi maofisini, kuongezeka kwa gharama za matumizi ya serikali(safari za viongozi, seminars, na mikutano).
Kuongezeka kwa Makusanyo ya mapato ni jambo zuri Sana, lakini lazima kuendane na kupunguza mzigo kwa wananchi(Kutoa Kodi na kuweka ruzuku ili kupunguza Bei ya mafuta kwa Sasa), au kupunguza kukopa zaidi, Sasa Kama tunakusanya zaidi, lakini bidhaa na gharama za maisha(Bei za bidhaa) nazo zinaongezeka zaidi, mikopo pia inaongezeka zaidi, wananchi wanasababu gani ya kufurahia ongezeko Hilo la Makusanyo?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Just blame your fellow kunyan wanakuja kutafuta uraia huku . Blaaaa blaaaa zako mi naona unapoteza muda tuIt goes both ways fool. Pia huyo Mtanzania atapata uraia wa Kenya. We are just not as excited as you. Yani watu 9 kupata uraia wa Tz, ndio lazima msherehekee?
Watu waliokimbia 200 m hawakuruhusiwa kukimbia 100 m.Yule mmarekani aliyekimbia mbio za mitaa 200 yupo hapo au anawaonea vibonde
Huyo Governor wa Siaya naona hacheki. Sikujua kuna development nyingi huko Siaya. This is good progress.
Shida yako kawaida huwa Kiingereza.🚮🚮It goes both ways what do you mean? 😄
Yaani mkenya kamuoa mtanzania badala mwanamke ndio abadili uraia, mwanaume ndio kabadili, huyu lazima tumchunguze sababu wakenya wanatafuta uraia wetu kwa udi na uvumba
Sema mfumo wetu wa kupatia watu uraia ni wa hatari ......tatizo serikali ya ccm ni mafiii hao raia tayari wanaweza kujiingiza kwenye siasa mara tu baada ya kupatiwa uraia tena wengine unaweza wakuta tayari walisha jiingiza kwenye siasa za nchi yetu kabla ya hata kuwa na uraia hasa kwa kupitia chama cha ccm , ndiyo maana tunashangaa Nchi imekosa uzalendo serikalini na kisiasa kumbe kuna raia wa michongo mafisadi wanao nufaika na ufisadi na kuufadhili kwa kuunda mifumo kabisa na kuwa system kamili ya kifisadi , nikama mradi wa bandari ya bagamoyo umeshupaliwa kama nini ..wakati inajulikana wazi kuwa bandari kumilikiwa na wageni ni kuharibu ulinzi wa taifa na mipaka yaka " jwtz" ni zaidi ya viwanja vya ndege vya kibinafsi vilivyokuwa ninatumika kutorosha madini yetu yenye thamani kubwa na kuyapeleka kenya , kwa ndege zao hao mafisadi wawekezaji.Kenya mtuonyeshe ni raia wangapi wa Tanzania waliopewa uraia wa Kenya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tony254
dyfre
Don YF
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Onesha public park kama hiyo kunyalandThis a shame to post this to represent a town. Some schools here have better
😄😄😄😄 Nilishaona nilikua namleta taratibu nione anapoishiaHiyo article aliyo screenshot ndo hii hapa na hamjagundua tu kwanini kaleta habari nusunusu! [emoji23][emoji23][emoji23]
Managing director is a Kenyan! [emoji848][emoji848][emoji848]
Head of real estate services!
View attachment 2215969
Kuanzia namba 6 hadi 10 wao hawana Kodi kwenye mafuta?
Kula albino tz ilikuwa biashara ya kiongozi mmoja mkubwa hapa tz na team yake ya wanasiasa anajulikana kama mzee wa msoga ila baada ya mzalendo JPM kuchukua nchi hiyo biasdara ikakoma.Mbona mnakula albino?