Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nilikuwa nadhani ni utani kumbe ni kweli huu uwanja kuna watu wanakalia zege[emoji116][emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2215255
Watakuambia wana uchumi mkubwa wakati hata viingilio vya uwanjani hawana, angalia kulivyo empty na ni game 1 kwa mwaka, Tanzania kila week games na viwanja vinajaa pomoni
 
Me mwenyewe nawashangaa wanaogawa greencard yetu kama njugu kwa Wakunya 😄
 
Yaani Kenya tunadominate dunia kuanzia 100 metres hadi marathon ya 42 kilometres ambako Eliud Kipchoge anatesa watu? Omanyala sasa ameanza kutesa Wamarekani kwenye 100 metres. 💪💪💪
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…