Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

When it comes to development, Tanzania is bottom. Lakini ikifika Kwa uchawi, weee!!![emoji23][emoji23]

View attachment 2214201

View attachment 2214203
Hii haitabadili ukweli kwamba hakuna infrastructure yoyote ambayo ipo Kenya ikakosa kuwepo Zimbabwe lkn kuna infrastructures zipo Tz huwezi kuzipata East and Central Africa wala Zimbabwe, najua inauma ila accept the truth zen move on Bwana Mapesa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nendeni mkashindane na South Sudan Kwa infrastructure 😂😂👇👇

 
Kuna sehemu nimejibu kwa Teargas badala yako.Lakini siyo mbaya kama utapitia unaweza kusoma na kunipa majibu.Samahani.
 
Nimewashindilia na facts wamebaki kulia lia, jengeni wacheni upumbavu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hapa nilikuwa naongea na bwana Tony254.Haukuwa wa kwako bila shaka atapitia na kuona. Very sorry for my confusion sir.
 
I think this is the ugliest bus on earth. 😛 🤣 😁


Wee bricks and mortar engineer nilikuonya usipanue mdomo wako kwenye vitu ambavyo huvijui.
Slum na unplanned settlements are not the same.
Mimi na wewe nani afundishe mwengine kiingereza? Alafu nimepost shanty town unaongelea unplanned settlement, hivi wewe msee wa mortuary kichwa yako huwa sawa?
 
At least you are honest we can debate fruitfully. But for WB to say in 2021 that Kenya is worse than Zimbabwe even with wanning economic prospects ya Zimbabwe hapo imekaaje? Au WB ni waongo?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…