Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So your "new state of the art" radars extend a little over the Kenyan airspace, and you think that's an achievement? 😂😂😂😂😂😂.
In as early as 2014 Kenya has had radar systems that extend well over bongoland, Uganda, Ethiopia, Somalia and the east coast of Kenya.
 
Nyenyenyenye tuna miti mingi kuliko Dar
Says a desert and hunger stricken idiot [emoji2519][emoji849]

Nairobi unaweza kuiangalia yote kwa picha moja laini Dar ni tofauti sana kuna sehemu unaweza kukaa hata miaka 5 hujawahi kwenda na siku ukienda unakuta imebadilika sana.Dar ni kubwa sana na inakua kwa kasi mno. Hapa sote ni mashahidi kuna picha zote ambazo hazijawekwa humu tunaweza kuanza kubishana wenyewe kwa wenyewe kwamba hapa ni wapi au siyo Dar kwasababu hatujaizunguka yote.
Dar kama huna mishe za hizo sehemu huwezi kwenda kwasababu ya umbali uliopo.
Wanalinganisha ukubwa siyo kwamba hawajui ila wanajitoa tu ufahamu kuchangamsha thread.
 
Kichwani wamejaza ugoro badala ya akili

 
Hapo nimeon mmepaka rangi nyekundu na kijivu tu basi, mnapenda rangi sana ehee??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…