Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwnn unaweka picha za mbali? Weka karibu kama mm ninavyoweka uharo wenu tuone hizo slums alafu tujue kwamba waliongopa waliposema no slums in Tz[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
A janitor in TZ earns a salary of ksh5,000 per year. Tanzania is among the countries in the world with the lowest salaries in the world. Poleni sana majirani.

 
According to Knbs economic survey inayotolewa saa hii, uchumi wa Kenya uligrow by 7.5% in 2021.....hii ni the fastest growth since 2011
 
Nyinyi si mlisema uchumi ulikua hukui kipindi cha jpm
Sitaki siasa hoja ya kukua kwa Uchumi Tzn haijawahi shuka ila ukuaji ulipungua,kwa mfano mwaka 2017 ambao hajaweka data ,umeme ulipungua Sana kabla ya kuanza kuongezeka taratibu kuanzia 2018 na kuendelea,by 2021 hii Kasi ya ongezeko ilikuwa kubwa zaidi kuliko miaka mingine iliyopita na ndio msingi wa hoja..

Mwambie aweke hapa data za percentage change ya peak demand Kati ya 2020 na 2021 afu utaona kama kuna justification au hapana.
 
How many episodes has he done in Tanzania?
 
We Bwana Mapesa, Kadhaa unaielewaje? [emoji23]
View attachment 2212301
Bwana Mapesa anakwambia:

"The reason why am posting my personal life here it's because you requested for it, next time if you want me to show even my nails I won't show you" cha ajabu juzi akaonesha buti lake lenye mashavu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yes, she knows better that Tanzania was demoted from middle income group for one month and it was reinstated back back few days later[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
She also knows better that all your major projects are funded by loans, a far cry from the "pesa za ndani" narrative that Magufuli fed you
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kaonyesha kila kitu mpaka future yake[emoji1787].
 
Hiyo ndiyo tofauti ya wakunya na Watz[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
na unapata wapi nguvu ya kuongea wewe.... wapi yako ?...
wacha NDINDA mwenyewe aongee. mtegemea cha nduguye atazidi tu kula kwa macho. bidii ya msee isiwe kigezo cha wewe kupayuka.. tokamo huko tafadhal
 
Tumalizane na mm kwanza mzee wa kuondoa slums kwa Google, hakuna county ikakosa slums Kenya na leo twende na mimi mpk kieleweke[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona nishindane with a fellow who considers this a middle-income area?
 
Sema unataka ya mwaka gan nikuumbue..
ase mnauvumilivu sana kujibizana na huyu shoga😂
Nimemletea data ya mwaka 2020 yey anasema ni za 2021😂 oneni alivyo zoba
 
According to Knbs economic survey inayotolewa saa hii, uchumi wa Kenya uligrow by 7.5% in 2021.....hii ni the fastest growth since 2011
ikakuaje tena tukaongeza kidogo sana kwenye uchumi wetu... yani from $109b in 2021 to $114b in 2022.. why.?🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…