Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

He basically lives in Ghana and Kenya with his Kenyan girlfriend. They have a home here alafu mtu anakuringia eti he goes to Tanzania.
Worse still, he claims he gets more subscribers in Tanzania than Kenya, something that he can't even prove if we ask him to. Huyu jamaa ni jinga type kabisa
 
Unapakataa kwenu? Unaonesha kasehemu kadogo wanachoishi middle class ndiyo unatumia ku generalize nchi nzima [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Pambaneni muondoe ma slums hayo wanakoishi 80% ya Wakenya. Sasa tuanze na Kasarani alafu tutakuja maeneo mengine, leo nakupiga punch za hatari sn mpk uende Google kuyaondoa ma slums kama ulivyosema miaka miwili iliyopita. Kasarani, Kenya [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Worse still, he claims he gets more subscribers in Tanzania than Kenya, something that he can't even prove if we ask him to. Huyu jamaa ni jinga type kabisa
Tumalizane na mm kwanza mzee wa kuondoa slums kwa Google, hakuna county ikakosa slums Kenya na leo twende na mimi mpk kieleweke[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nataka uweke data hizi kuanzia mwaka 2016 hadi 2021 kama ambavyo akina Makamba walifanya demonstrations,usichague elements zinazokufurahisha weka full data na gragh zake hapo chini tufanye analysis..

Pili kwenye hoja ya mjadala ni kwamba kwa miaka hiyo ya utawala wa awamu ya 5 Tanesco hawakuwa wakifanya maintanance ya system za usambazaji,kubadili transfoma nk..weka Takwimu za hizi data..

Mwisho hoja hujaijibu,kwa nini umeme unakatakata ikiwa wewe unasema sababu zinazoelezwa na MD na Waziri Makamba ni za uongo..
 
Buruburu kuna mpk nyumba za mabati, kuna gape kubwa kati ya tajiri na maskini Kenya thus y hakuna sehemu ikakosa slums in Kunyaland, matajiri 10 wakijenga nyumba zao pembeni yake kuna maskini 1000 na mabati yao, Buruburu [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nitarudi baadae kdg niko bize, yani hakuna sehemu ikakosa slums in Kunyaland, mpk ikulu kuna slums[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nimezipitia ,kaweka data za miaka inayomfurahisha yeye,nimemwambia aweke data zote za kuanzia 2016 hadi 2021,kwa sababu hoja ya serikali ni kwamba mahitaji ya umeme mwaka 2021 yaliongezeka kwa Kasi zaidi kuliko miaka mingine yote iliyopita kutokana na kukua kwa haraka kwa uchumi..

Pili hoja ya serikali ni kwamba Tanesco walikuwa hawafanyi maintenance kwa miaka 5 iliyopita hivyo systems za umeme zimechoka so with sharp demand imesababisha grid kuzidiwa and so umeme kukatika katika..

Na mwisho nimemuuliza kwamba kama hakubaliani na majibu ya Serikyna boss wake Chade ,atuwekee yeye sasa kwa nini umeme unakatika katika? Je wanahujumu Nchi Kisa hawamtaki Samia na Makamba?
 


The African Development Fund supports the Tanzanian Center of Excellence for Cardiovascular Science​



30-Apr-2022


In a quest to improve healthcare infrastructure and local capacity in Tanzania, the African Development Fund has financed a new Tanzanian Center of Excellence for Cardiovascular Science.

This state-of-the-art facility at the Muhimbili University of Health and Allied Sciences has been a welcome response to the rising number of cases of cardiovascular diseases that the country has been combatting in recent years.

The center has a goal to train medical staff in cardiovascular disease prevention, disease treatment and rehabilitation of patients touched by cardiovascular diseases. This center is part of a larger regional health response through biomedical education in Kenya, Uganda, Rwanda and Tanzania.

 

If Kasarani above is a slum, I don't know what name befits these places
 
Angalia kodi za kuagiza gari za zanzibar na Tanzania bara nadhani utagundua sababu,zenj kwenye suala la kodi kuna fair kubwa sana na ndio hata magari zenji si ghali kama ilivyo bara,hapo wanasiasa inabidi ndio wakomae na kero za muungano kama hizi
Yah najua kodi zinatofautiana ila kwa kipindi kama ichi inafaa kodi zipunguzwe na zingine ziondolewe kabisa sio kukaakaa tuu maofisini bila kufanya kitu
 
Ukizingatia viwanda vingi viliunganishwa na gesi asilia . Maana yake matumizi ya umeme kwenye viwanda yalishuka . Kwa hiyo domestic uses haiwezekani zidiwa kwa uzalishaji yalionesha injinia Simon
 
Nyinyi si mlisema uchumi ulikua hukui kipindi cha jpm
 
Your level of desperation is out of this world. Sasa ukianza kupoint nyumba moja moja with red arrows how many will I point here?
Your level of desperation is out of this world. Sasa ukianza kupoint nyumba moja moja with red arrows how many will I point here?
 
Nitakuaibisha bora ukae kimya. Shida ya Dar ni unplanned settlement na cyo slums but shida ya Nairobi ni slums, all slums are unplanned settlement but not all unplanned settlement are slums, so thus y there are no slums in Dar.
Unasema all slums are unplanned settlements and at the same time you are admitting that you have unplanned settlements!! Ona sasa unavochichanganya. So in a nutshell, the unplanned settlements you have qualify as slums as per your statement.

So hii hapa ni slum

While this one is not 😂 😂 😂 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…