joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Mkuu, Asante Sana kwa hizi data, ninaamini huu mjadala wetu utakua umefikia mwisho kutokana na hizi data, sidhani Kama ndugu yetu The Sunk Cost Fallacy atakua na hoja tenaUEFA imeisha sasa nikaona nipitie huku..naona nimetajwa..
Bro huyo mtu huwa siargue nae..japo sijapitia deep maongezi yenu..ebu angalia hizi data..kama hazitoshelezi maongezi yenu na mnataka data nyingine..nishtue kesho.. nitag kbsa nipate noti
Pia si ajabu akabadilisha gear. Usiku mwema nyote
View attachment 2211890View attachment 2211891View attachment 2211892
Dar got The most greenest roads trees 🌴🌳🌲
Most Cleanest roads
Nasikitika BRT itaenda kukata miti yote hii soon
Huyu mama Hana uchungu na jasho la mtanganyikaLakini huko Zanzibar kila kitu ni Bei nafuu kuliko Bara ,kumbuka mambo ya Kodi ni tofauti baina ya maeneo hayo.
Diamond ana almost million 14 by now. 😁Milioni 5 mzee sio 15 wasije wakakuumbua hawa nyumbu
Have you seen Japanese, Chinese, Germans, Namibians, Mauritians, Botswana and many YouTubers from countries that are stable economically?.Battle: Dar es Salaam vs Nairobi
Kitambo nilikua nadhani ni ushamba lakini nilikuja kuelewa majority can't afford such luxuries. I echo the same sentiments. Waangalie Wakunya wenzako wanavyoshangaa bata la Dar na namna Watanzania wanaenjoy luxury life Hii sio siku ya sikukuuwww.jamiiforums.com
The fact that he likes Kenya, doesn't make Kenya the best country for his viewers?, he gets big number of viewers by showing Tanzania episodes than Kenya, that's why he has done many programs from Tanzania than from Kenya.Huyo Wode Maya amesema his favourite country in Africa is Kenya, is married to a Kenyan and is planning to invest in Kenya alafu wewe unapiga kelele just because he visited Tanzania twice.
Yes, she knows better that Tanzania was demoted from middle income group for one month and it was reinstated back back few days later[emoji23][emoji23][emoji23]True... She knows better [emoji23] View attachment 2212058
Onyesha program alizorusha WODE MAYA Kati ya Kenya na Tanzania na ulinganishe, Kenya anakuja kufuata yule demu wake, lakini nchi inayompa viewers wengi ni TanzaniaI can't count the number of times I have seen Wode Maya visit Kenya. Mibongolala ni watu hovyo sana
Diamond ana almost million 14 by now. 😁
Wakati wao mwenye wengi zaidi ni million 4 😃
View attachment 2212149
Anaishi Kenya na Ghana lakini kazi zake zinazompatia watazamaji wengi ni kazi za Tanzania[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
After kuvuliwa suruali now you don't care. Did you not care when you were boasting about him visiting Tanzania?
Simon ameweka data tafadhali zipitie, zinathibitisha kwamba hakuna siku TANESCO imezidiwa na demand ya umeme, hakuna tofauti yoyote ya Kiwango cha matumizi Kati ya kipindi cha Magufuli na hivi Sasa, tofauti ni uongozi tu umebadilika, ndio chanzo cha haya yote tunayoyaona.Unfortunately ilikuwa ni mjadala wa mafanikio ya mama Kwa mwaka mmja kwa hiyo walifanya graphical demonstrations kwa power point kwa hiyo sikuweza kunukuu..
Ila post yangu ya kwanza nimeweka nukuu ya maelezo yao kama ilivyoelezwa na gazeti la Mwananchi wameeleza hiki nachosema..
Desperation of the highest order!!Hakuna sehemu isiyo na slums Kenya, najua mnaumia na mngependa tufanane, taja sehemu yoyote Kenya nitakuonesha slumsView attachment 2211862View attachment 2211863View attachment 2211864View attachment 2211865View attachment 2211866View attachment 2211867
Kunyaland kuna bata gani litakalomshangaza MTZ!?wakunya brainwash kuhusu TZ iko kichwani mix chang'aa ya kibera basi uwa mnafikiria negative tu kwa TZ na chuki zenu,sasa mkitia mguu bongo mnakuta kila kitu tofauti na mlivyoaminishwa ndio hapo mnapoanza kushangaaYoutubers wa kenya wako na pesa ndio maana wanaweza kula bata nchi tofauti tofauti. Sijaona youtuber wa Tanzania wakija Kenya. Says a lot about danganyikans disposable income.. hamna pesa ya kula bata
Noma baba, kampuni ya kizalendo imetisha, kuna watu kila kitu anafanya mchina alafu wanaongelea ubora wa elimu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2212201
View attachment 2212202
View attachment 2212203
View attachment 2212204
View attachment 2212205
View attachment 2212206
View attachment 2212207
View attachment 2212208
View attachment 2212209
View attachment 2212210
View attachment 2212211
View attachment 2212212
View attachment 2212213
Ni kweli? Kisa kilikuwa nn?Yes, she knows better that Tanzania was demoted from middle income group for one month and it was reinstated back back few days later[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Angalia kodi za kuagiza gari za zanzibar na Tanzania bara nadhani utagundua sababu,zenj kwenye suala la kodi kuna fair kubwa sana na ndio hata magari zenji si ghali kama ilivyo bara,hapo wanasiasa inabidi ndio wakomae na kero za muungano kama hizi
Ebu jamaa waliopo zanzibar uko ebu watunyoshe maelezo kabla hatujatema nyongo umu
Mwinyi kawezaje
Tanzania ni nyumbani kwa youtubers kutokana na vivutio vyake hilo halina ubishi,wakunya watabisha tu hapa ila mioyoni mwao wanajuaOnyesha program alizorusha WODE MAYA Kati ya Kenya na Tanzania na ulinganishe, Kenya anakuja kufuata yule demu wake, lakini nchi inayompa viewers wengi ni Tanzania
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app