chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,740
- 46,079
Waangalie Wakunya wenzako wanavyoshangaa bata la Dar na namna Watanzania wanaenjoy luxury lifeKitambo nilikua nadhani ni ushamba lakini nilikuja kuelewa majority can't afford such luxuries. I echo the same sentiments.
Mkunya mwenzako can tell you different stories about that
Youtubers wa kenya wako na pesa ndio maana wanaweza kula bata nchi tofauti tofauti. Sijaona youtuber wa Tanzania wakija Kenya. Says a lot about danganyikans disposable income.. hamna pesa ya kula bataMkunya mwenzako can tell you different stories about that
Here, join her!
Ni mdanganyika mwenzakoAnajua maana ya macroeconomics kweli au ali mradi na yeye ka contribute
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Ushahidi upi zaidi ya waliotoa Tanesco? Mbona walifanya demonstrations ya mahitaji ya umeme hadi 2021? Huo sio ushahidi au ?Kwamba enzi za Magufuli kulikua na matumizi madogo kuliko hivi Sasa?, tunahitaji kupewa ushahidi katika Hilo. Kuna njia mbili ya serikali kuthibitisha,.
1)Kiwango cha uzalishaji umeme enzi za Magufuli na Sasa hivi
2)Kiwango cha umeme kilichokua kikitumika katika kipindi cha mwaka au mwezi kwa wakati ule na Sasa hivi/Makusanyo ya mapato yatokanayo na mauzo ya umeme yalinganishwe.
Serikali/Makamba na rais Samia wote wanalalamika kuhusu uchakavu wa miundombinu ya usambazaji umeme kuwa ndio chanzo, tunaweza kuamini juu ya Hilo, lakini swali la kujiuliza ni kwamba mbona kipindi cha Magufuli madhara ya uchakavu hayakuonekana Kama inavyoonekana Sasa hivi?.
Kama kweli hivi Sasa matumizi yameongezeka kutokana na uchumi kufunguka, tunaomba takwimu ili kweli tuamini, lakini kutoa majibu mepesi mepesi kwa Mambo ya msingi Kama haya haifai.
Jambo Moja ambalo viongozi wa Sasa hivi ni lazima wajifunze ni kwamba, Magufuli amewafungua macho watanzania kwamba Mambo yanawezekana Kama watumishi wa umma watafanya kazi zao vizuri, iwe kwa kupenda au kwa kushikiwa bakora, watu hawataki maneno na maelezo mengi, wanataka kuona vitu vinafanyika
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kwa hii lifestyle ya Tanzania, hapa ni ArushaYoutubers wa kenya wako na pesa ndio maana wanaweza kula bata nchi tofauti tofauti. Sijaona youtuber wa Tanzania wakija Kenya. Says a lot about danganyikans disposable income.. hamna pesa ya kula bata
Bila kuonyesha Tanzania, hawezi pata "subscribers" wengi, karibu you tubers wakubwa wa Africa wote wametembelea Tanzania zaidi ya mara 2, mfano ni WODE MAYA.Youtubers wa kenya wako na pesa ndio maana wanaweza kula bata nchi tofauti tofauti. Sijaona youtuber wa Tanzania wakija Kenya. Says a lot about danganyikans disposable income.. hamna pesa ya kula bata
Tanzania has no YouTubers. I've seen travel YouTubers from all over Africa traveling and appreciating other African countries. Tanzanians job is only to be happy when a foreign YouTuber lands in Tanzania.Youtubers wa kenya wako na pesa ndio maana wanaweza kula bata nchi tofauti tofauti. Sijaona youtuber wa Tanzania wakija Kenya. Says a lot about danganyikans disposable income.. hamna pesa ya kula bata
Bila kuonyesha Tanzania, hawezi pata "subscribers" wengi, karibu you tubers wakubwa wa Africa wote wametembelea Tanzania zaidi ya mara 2, mfano ni WODE MAYA.
Tanzania attracts viewers, tourists, investors, black Americans and football players, Kenya attracts athletics, Alshabab and beggars[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Huyo Wode Maya amesema his favourite country in Africa is Kenya, is married to a Kenyan and is planning to invest in Kenya alafu wewe unapiga kelele just because he visited Tanzania twice.Bila kuonyesha Tanzania, hawezi pata "subscribers" wengi, karibu you tubers wakubwa wa Africa wote wametembelea Tanzania zaidi ya mara 2, mfano ni WODE MAYA.
Tanzania attracts viewers, tourists, investors, black Americans and football players, Kenya attracts athletics, Alshabab and beggars[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bila kuonyesha Tanzania, hawezi pata "subscribers" wengi, karibu you tubers wakubwa wa Africa wote wametembelea Tanzania zaidi ya mara 2, mfano ni WODE MAYA.
Tanzania attracts viewers, tourists, investors, black Americans and football players, Kenya attracts athletics, Alshabab and beggars[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
True... She knows better 😂Ask the president of Tanzania, she knows better than all of us[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
I can't count the number of times I have seen Wode Maya visit Kenya. Mibongolala ni watu hovyo sanaHuyo Wode Maya amesema his favourite country in Africa is Kenya, is married to a Kenyan and is planning to invest in Kenya alafu wewe unapiga kelele just because he visited Tanzania twice.
Unkept kivipi? Ama neno "unkept"got a new meaning na hatujui?
He basically lives in Ghana and Kenya with his Kenyan girlfriend. They have a home here alafu mtu anakuringia eti he goes to Tanzania.I can't count the number of times I have seen Wode Maya visit Kenya. Mibongolala ni watu hovyo sana
Who cares? Who's ode Maya? Our tourism industry is bigger than him and all the countries he likesHe basically lives in Ghana and Kenya with his Kenyan girlfriend. They have a home here alafu mtu anakuringia eti he goes to Tanzania.