Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

JNIA ni level ya Eldoret airport [emoji1787][emoji1787], how can a whole airport only have five planes in a day?[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
Ni kwasababu airport yetu ni ya kisasa hairuhusu delay of the equipment, kila kitu kipo, ndege itakaa hapo according to its turn around na c vinginevyo, ile terminal two co modern ipo kama JKIA na ndiyo maana mandege yalikuwa yanajazana, hizi airport za nchi nyingi za ki Afrika hazitakiwi kuwa na mandege mengi on ground mana ndege zinazofika hapo c nyingi kiasi hicho, sema shida ni infrastructures ambazo ni outdated, kwa mfano JKIA ina bridges chache ambazo zinafanya kazi hivyo ndege inabd zisubiriane na ndiyo maana delay ni obvious ukufika JKIA something which is not obvious at JNIA because of its modernity.
 
Hakuna county hata moja Kunyaland ikakosa slums, gape la tajiri na maskini ni kubwa kiasi kwamba slums zimetapakaa mpk ikulu.
Unaambiwa pale Nairobi kuna nyumba kodi kwa mwezi ni ksh 150 sawa na tshs 3000 na mtu hawezi kulipa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😂😂😂😂😂 Dah ikulu yenyewe slum 🤣
 
kuna vitu vingine vinachekesha sana.. eti huyuhuyu anataka kugombea urais 2025[emoji38]
kama mambo ndo haya, huo ujasiri anautoa wap? ‘our own Joyce Banda’

i like this comment
Daah yani hamna kitu kabisa kwanza Ndio ametoka kukutana na viongozi wa imf na WB sijui kama ataweza kufanya maamuzi magumu kununua mafuta urusi
 
Daah yani hamna kitu kabisa kwanza Ndio ametoka kukutana na viongozi wa imf na WB sijui kama ataweza kufanya maamuzi magumu kununua mafuta urusi

mim huyu sina shida nae ya yey kuwa rais kipindi hiki.. akope anavyotaka (sometimes mikopo inasaidia miradi ya maendeleo), watu waibe wanavyotaka, etc..mana urais 2021 hakuutegemea (katiba imetuangushia jumba bovu)
shida ni eti anataka kugombea 2025 [emoji2299] ’atajua hajui’
 
Soja wewe tulia hakuna kitu unajua kuhusu aviation tofauti na kuchunga mizigo 😂😂. Yani kwa JNIA only receives 5 planes like seriously?😂😂



 
Those are estimates it can go down or higher depending on the prevailing economic situation plus exchange rates.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…