Wanasema hizi ni data as for april ,jinsi bibi anavyo omba uko njee mpka july usishangae tuka hit 80billAse tuusan na Teargas mmenifungua macho.. imebidi niingie chimbo niangalie data za GDP
Data yenyewe hizi hapa by IMF
Kenya = 114.68
Tanzania = 77.51
View attachment 2208665View attachment 2208669
Link hii hapa
nakumbuka sana,hata expressway haikuwa imekuwa topic-yet. wenzetu kina mwaswast @annael kadoda11 COLLOH-MZII RELOADED … hao watu wapipotea wapi
Geza Ulole and ichoboy01 been hating for ages 😂
Apo ghana atuache tunajambo letuAfrica top ten in gdp
1.Nigeria $510.59B
2.Egypt $435.62B
3.South Africa $426.17B
4.Algeria $193.6B
5.Morocco $133.06B
6.Angola $124.86B
7.Kenya $114.68B
8.Ethiopia $105.33B
9.Tanzania $77.51B
10.Ghana $73.89B
Ghana tutamuacha tuu hana maajabu sekta yetu tuliyokua tunautegemea sana utalii before corona tulikua 2.5 B $ saivi tupo 1.4Apo ghana atuache tunajambo letu
We don't assemble busses in Tz but we own them in larger number than u guys do, 100+ bus companies 0 bus assembling plant.. nyie sasa u can't afford, 1 bus assembling plant QUOTE]Mkuu tunazo assembly plant apo pwani
Unajua mana ya kutengeneza ww? Au unabwatuka tuu...?Kama Tanzania hamtengenezi limousine usinilete hasira. [emoji1787] [emoji1787] Hio ni shauri yenu.
Mpka july itakuw close to iyo expectation yako,By the way next year itakuwa tamu. Kenya itakuwa $120 billion na Tanzania itakuwa around $81 billion. Total gdp ya Kenya na Tanzania by next year itakuwa zaidi ya $200 billion. Yaani sisi mandugu tunachukiana sana lakini sisi ni masuperpower wadogo hapa Africa. Uchumi hizi mbili zikishikana ni zaidi ya $200 billion.
Cc Simon.
Akuna anae bishia ukubwa wa uchumi wao ila impact yake kwa ground ndio shidaNigeria wameshatinga $500 billion Jesus Christ. Halafu hapa JF huwa mnaichukia Nigeria sijui ni kwa nini. Wale watu wako aggresive sana mimi sina tatizo nao.
Yes tunatengeneza limousines.Unajua mana ya kutengeneza ww? Au unabwatuka tuu...?
Kwaiyo hii ndio comment yako juu ya fact hizi? bora ungenyamazaTuta tuta tuta.
Wakati ya bara zima ni 2.9 TBy the way nimepiga hesabu ya haraka kwa calculator ya simu yangu na nimepata kwamba Gdp ya hizi nchi kumi ni $2.19 trillion
View attachment 2208784
Cc Simon
Bado haijafika $3 T?Wakati ya bara zima ni 2.9 T
Hapa route ambayo sijawaiiona ni ya Iringa, pia TC zimerudisha route ya Guanzhou.As of November, 2021
View attachment 2208632
Kwani hawa precision wana ndege kubwa?Hapo vipi.? [emoji116]View attachment 2208600
Wacha ujinga , so unajifan mjanja unajificha nyuma ya neno limousine? Swali ni nyie mnatengeneza range rover limousine from top to bottom?manake mpka engine mnazalisha sio kukat chases na kuiextend ndio kunda gari zime we kizuuYes tunatengeneza limousines.
BadoooBado haijafika $3 T?
Wewe unafanya kazi airport na una andika root. Lakini we ni soja, huwezi elewa hizi vitu. 🤣🤣🤣Hapa root ambayo sijawaiiona ni ya Iringa, pia TC zimerudisha root ya Guanzhou.
Nimesema tuna tengeneza limousine.Wacha ujinga , so unajifan mjanja unajificha nyuma ya neno limousine? Swali ni nyie mnatengeneza range rover limousine from top to bottom?manake mpka engine mnazalisha sio kukat chases na kuiextend ndio kunda gari zime we kizuu
Typing error, ok route vp umeridhika? Najua nyinyi Wakenya ni mbwa wa wazungu mnawaabudu sn.Wewe unafanya kazi airport na una andika root. Lakini we ni soja, huwezi elewa hizi vitu. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]