Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakikufa vs wakifa
Venye vs jinsi au vile
Tafadhali msituharibie lugha yetu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Wabongo ni washamba sana. 🤣 🤣 🤣 Tumesema utuonyeshe assembly line ya Toyota Land Cruiser, unatupostia pictures na video za fabrication. 🤣🤣🤣 Yani fabrication pekee ndio inawashtua hivyo. Waaaaaaa.
 


Hizi Kima za Kenya zimechoka sana kimaisha. Ni true jamaa hawali chakula bora!

Inasikitisha kwa kweli!

Halafu hii Kima yenye Rasta ina Afya mbovu na mikono yake kama Spaghetti.
 
dyfre mimi sijawahi kupost picha yangu kwa social media. Huwa napenda privacy yangu sana. So huyo uliyomuweka hapo sio mimi. Japo nina picha nyingi nikiwa ulaya kwa simu na computer yangu lakini sitawahi kuzipost humu. Nimeishi Czech Republic miaka miwili hata lugha yao nakiongea. Kama ni kuringa naweza ringa sana lakini haitanisaidia kwa lolote.
 
nakupata mkuu.. pole. kuna mwenye aliwahi sema kuwa huyu ni wewe.. wacha basi ni idelete immediately
 
Sasa kitu gani cha kufanya uringe, kukaa Ulaya au kuzungumzia lugha Yao?[emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1]

Weka picha tukuone wacha kutoa visingizio vingi,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
This is what changes lives of citizens of all classes, especially in rural areas where majority of Africans live, not HQs and Google offices which almost all are in capital cities employ not more than 3000 people "at most"

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…