Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wapi za Tanzania?
 
What we built for Tanzania VS what they import🤣🤣😂

Image one is a bus assembled in Kenya.
Image two is a bus imported from China



 
Kumbe umeshajijibu sasa the higher you go less oxygen hence need for longer runaway.

NB Oxygen is used to support combustion in aircraft engines.
 
Thika road ni 100 mwisho nilishikwa na karau hapo embu kabla sijaingia thika road kaniambia ninekamatwa na kizibiti mwendo huku speed haizidi 80 nikamwambia mbona hamna vibao akasema ndio hivyo na thika mwisho ni 100 tuu usizidishe zaidi ya hapo.
Wacha upumbavu. Kwamba wewe unaendesha gari huku Kenya? Weka picha ukiwa Kenya.
 
Wamepigwa tena, hawa jamaa elimu bora ndiyo hawana thus y wanapigwa kila siku [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kila siku nasema I highly suspect kuwa Kenya hawana regulatory body to supervise civil works we have seen from crumbling storeys buildings to shoddy works on expressway and now SGR Station. Aidha kama regulator yupo basi wanahongwa kukubali kazi mbovu jamani muwe na uchungu na hela za Serikali hizo ni hela zenu wote.
 
What we built for Tanzania VS what they import[emoji1787][emoji1787][emoji23]

Image one is a bus assembled in Kenya.
Image two is a bus imported from China

View attachment 2206931

View attachment 2206932
Kama kawaida yenu
1)BRT buses za Tanzania zilitengenezwa Kenya
2)Kiswahili kilianzia Kenya
3)Mlima Kilimanjaro ulikua Kenya
4)Magufuli alifia Kenya
5)Obama ni Mkenya
6)The Best (chinese class 1) SGR is in Kenya
7)Kenya is the most diversified and resilient Economy in Africa
8)Tanzanian buses are assembled in Kenya
[emoji1][emoji1][emoji1]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…