Hawajafika leo wala jana pole ndugu😀😀😀Ni vizuri kama wamefika Dar but kama kawa si unajua Nairobi ndo Motor Capital of the region.
Lakini si bado unajua head office ziko wapi. heheheheHawajafika leo wala jana pole ndugu😀😀😀
nioneshe head office za tata africa ziko nairobi????😀😀😀😀😀😀😀😀Lakini si bado unajua head office ziko wapi. hehehehe
hahaha kwa namna yoyote tanzania inakubalika kwa kila namna😀😀😀😀😀citizen tv is not left behind on the trending beef of diamond and ali kiba.
![]()
tunaposema kwamba wao ndio wako busy kufatilia sana masuala ya tz huwa wanabisha.hahaha kwa namna yoyote tanzania inakubalika kwa kila namna😀😀😀😀😀
acha upuuuzArtist yeyote East & Central Africa, akitaka kukubaliwa ulimwengu mzima, Lazima akubalike Kenya kwanza. ukubali.ukatae
povuuuuu...Artist yeyote East & Central Africa, akitaka kukubaliwa ulimwengu mzima, Lazima akubalike Kenya kwanza. ukubali.ukatae

Artist yeyote East & Central Africa, akitaka kukubaliwa ulimwengu mzima, Lazima akubalike Kenya kwanza. ukubali.ukatae
monkey see, monkey do
😀
mm nakubali kua unatoa povu😀😀😀😀😀😀Artist yeyote East & Central Africa, akitaka kukubaliwa ulimwengu mzima, Lazima akubalike Kenya kwanza. ukubali.ukatae