Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ata usi waste tyme na hiki kimwehu. hapa ni kwao tanganyika. kweli nyani haoni kundule

Tandale, hatuna huo ujinga serikali za mitaa zinasimamia kila mtaa labda tz ya miaka ya 90
 
Hiyo barabara haijafunguliwa rasmi sasa sijui mwasho wenu ni wa nini! Secondly, motorists will be required to pay only 360/- at most. How is that a preserve for the rich? Jengeni yenu malazy
Mbulu kengeeee weweeee, hiyo gari hapo juuu inakojoa????
 
Mbulu kengeeee weweeee, hiyo gari hapo juuu inakojoa????
Ubaya ni kwamba unapiga kelele ukiwa Tandale wakati mimi nipo Nairobi. Tumia akili zuzu wewe. Hapo hata gari ya Rais Uhuru imewahifika wakati akifanya ukaguzi wa ujenzi kama Rais.

Huenda hiyo ni gari ya mkandarasi akifanya ukaguzi or test drive. Hiyo barabara haijafunguliwa bongolala na kama unajua ishafunguliwa basi tuletee picha za sherehe za ufunguzi tuone.
 
Who remembers this comment?🤣🤣
Today I have the time to answer you.

88 Nairobi
River Estate
Ngong' Road



 
wacha upumbavu umesema Nairobi haina palm trees i have shown u several! and when they r matured, u will have coconuts!
Me sijawai ona mti ikona coconut Nairobi and those palm tress have been there for years, kwani zita mature after 100 years. 🤣 🤣 🤣
 
Umetulia sasa? Umewacha matusi? Asubuhi ulikuwa unalia na kutoa machozi sana.
Mnashindana na marehemu kwa nini ? Kwa sababu hawezi kujitetea? nitakuapo hapa kwa 'ajili yake.
Period!!
 
hata ingawa SSH hakuudhuria, lakini mbaki mkijua tuliomboleza pamoja na wageni tajika

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…