ndughuri msuya
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 2,165
- 3,374
Tigo wamehamia kwenye hili jengo.. hilo eneo linaenda kuchangamka sasa.. tutarajie maghorofa mengine kuja kuanzia hapa kwenda mliman city.. afu huyo mwenye petrol station saiz anacheka tu..meno yote nje
View attachment 2202713
pale pa awali watamnyima jamaa yangu pesa (tigo house)Tigo wamehamia kwenye hili jengo.. hilo eneo linaenda kuchangamka sasa.. tutarajie maghorofa mengine kuja kuanzia hapa kwenda mliman city.. afu huyo mwenye petrol station saiz anacheka tu..meno yote nje
View attachment 2202713
My question to Tanzanians.. IMF hawahawa walikuwa wanatupa rate ya 6-7% kipindi cha Magu, nakumbuka tulikuwa pamoja kirate na nchi ya Rwanda..what happened saiz kipindi cha mama, rate ni below 5% while Rwanda continue keeping their rate of >6%Beatings will continue to occur around the clock. Election year lakini tunawapea kichapo cha punda.
Ni kweli kabisa kampuni hizi hazitaemploy Wakenya kwa sababu education yetu ni shitty. Wataajiri Watanzania kwa sababu education system yenu ni superior kushinda ya Kenya. Natumai tumekubaliana hapo ndugu. Hata rent watalipa Watanzania na kodi pia watalipa serikali ya Tanzania.Very good, sababu hamna insight yoyote extra kwenye hizo companies zimekuja kupata kutoka kwenu, they didn't come for your brains but regional market
Because you are not doing anything meaningful. Kenya has now banned importation of minibuses, buses and Vans. This will force who like to import such vehicles to dwell on the local market hence increase in employment and production.My question to Tanzanians.. IMF hawahawa walikuwa wanatupa rate ya 6-7% kipindi cha Magu, nakumbuka tulikuwa pamoja kirate na nchi ya Rwanda..what happened saiz kipindi cha mama, rate ni below 5% while Rwanda continue keeping their rate of >6%
Weka mkeka hapa,thibitishaIlitokea 1n 2021 na itaendelea vivyo hivyo.
Haya sio maswali yakuniuliza mm, hao WB hutoa wap takwimu zinapikwa au?Kati ya WB na KNBS wanaofanya hesabu ya watu, nani wa kuaminika katika maswala ya idadi ya watu? Nyie pia mwaka huu mnahesabu idadi ya Watanzania mumezaliana kiasi gani. Sasa kati ya TBS na WB ni body gani ya kuaminika katika maswala ya kuhesabu watu?
My question to Tanzanians.. IMF hawahawa walikuwa wanatupa rate ya 6-7% kipindi cha Magu, nakumbuka tulikuwa pamoja kirate na nchi ya Rwanda..what happened saiz kipindi cha mama, rate ni below 5% while Rwanda continue keeping their rate of >6%
Insight ya printing and bindinglakini wana employ kenyans who lack insight. 🤣 🤣 🤣
South Africa wanaoongoza kwa uzalishaji wa viwanda, utalii,madini wanakua kwa 1.9% hii pia imekaajeMy question to Tanzanians.. IMF hawahawa walikuwa wanatupa rate ya 6-7% kipindi cha Magu, nakumbuka tulikuwa pamoja kirate na nchi ya Rwanda..what happened saiz kipindi cha mama, rate ni below 5% while Rwanda continue keeping their rate of >6%
Ila
pale pa awali watamnyima jamaa yangu pesa (tigo house)
South Africa wanaoongoza kwa uzalishaji wa viwanda, utalii,madini wanakua kwa 1.9% hii pia imekaaje
Kwanza kuna Watz wengi hawamjui Kibaki kabisa kabisa. Tukiwaambia hatuna habari ila wao ndio wanajisumbua na sisi wanabisha, lkn twitter kule wanakubali.Kondoo za uhunyee zinalia kule twitter.
Tatizo ni shobo.
Ndiyo nilichomaanisha hicho, hao Japan, Korea na China ndio wale wale.Kwa technology Japan ndio kinara View attachment 2203326
Eti korosho zikatupwe baharini, yani uongo wa kizamani kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Korosho zimekua nyanya? [emoji1787]
Kweli kabisa mkuu, alafu huyu tuusan huyu co mkenya huyu, mm huwa najua ni civil servant wa Kenya huko ukiangalia mitazamo yake imekaa kikunya kunya.Na hao namba 2 ndo tunao humu wakiwa sambamba na Mtanzania [mention]tuusan [/mention]