NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,331
- 19,715
So you want to believe Kenya and Egypt received less than 200k tourists last year? Enyewe mnapenda uongo unaowatuliza.🤣🤣🤣Acha ujinga na vitakwimu vyako outdated hapa..
Kwa hiyo wewe unabishana na Bussiness Insider walionakili Takwimu kutoka shirika la Utalii Duniani?
Una akili timamu kweli? Bisha na hizi hapa 👇
View attachment 2202076
View attachment 2202077
View attachment 2202078
Haha ninyi huongopa mambo kadhaa ya Tz ilimuonekane bora,kumbe hua inauma mtenda akitendewa1. This is not Thika Road. This is Waiyaki way.
2. It is a road under construction. It is a continuation of the expressway. The women have moved illegally to the median after being displaced due to the expansion of the road.
Stop posting misleading information to massage your balls.
Kama gani?Haha ninyi huongopa mambo kadhaa ya Tz ilimuonekane bora,kumbe hua inauma mtenda akitendewa
Sio swala la ku believe ni suala la facts..So you want to believe Kenya and Egypt received less than 200k tourists last year? Enyewe mnapenda uongo unaowatuliza.🤣🤣🤣
Parking lot hii mbona empty hvGeza uthobothwe
Thika road inakaa hivi.
Mambo mengi sana usijifanye hujuiKama gani?
don't worry si Tesla peke yao wanahitaji nickel!Bongo tuna nickel pia
Zile siku za curfew.Parking lot hii mbona empty hv
Ni kweli mna nickel ila Watu wa Indonesia wako more aggresive na wamefuata Elon Musk hadi ofisini mwake ila nyinyi mnangoja kufuatwa na kutongozwa na investors sio?Bongo tuna nickel pia
Watanzania wana machungu na Thika road sana. Huwa wanataka kuona imeharibika au wamama wameivamia na kuuza nyanya hapo ili wafurahi.Geza uthobothwe
Thika road inakaa hivi.
kwani ni Tesla tu ndo wanatumia nickel? hebu shughulisha hizo funza kichwani!Ni kweli mna nickel ila Watu wa Indonesia wako more aggresive na wamefuata Elon Musk hadi ofisini mwake ila nyinyi mnangoja kufuatwa na kutongozwa na investors sio?
Mgao wa umeme uliotangazwa na Tanesco hivi majuzi umekwisha huko Tanzania au bado unaendelea?
Hizo barabara za vumbi kando ndio service lane. 🤣 🤣 🤣[emoji7][emoji7][emoji7]View attachment 2202276
Usiku inavutia, mchana sasaGeza uthobothwe
Thika road inakaa hivi.