Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani hamna powers kabisa kwenye hizo baraza za mtaa, wanategemea masharti ya Mama. Suluhu 🤣 🤣 🤣
 
Ni aibu kujitia ujuaje hata kwa vitu usivyovijua u better shut off your fucking mouth, hatufanani
Tanzania hakuna devolution bongolala. Kubali yaishe. What have you devolved in Tanzania if I may ask?
 
Ona project kama hizi, ni full proposed funded and implemented by the local government, huoni ministry of health (central government) hapo bali Halmashauri kahamatc.go.tz

View attachment 2201377
Huyo jamaa me naona umuache tu, mana mtabishana mpaka asubuhi na ataendelea kuamini upuuzi wake, ni ngumu kumuelimisha mpumbavu
 
Wacha kudisplay ujinga mbele ya dunia, we both have decentralized governments lakini ya Tanzania sio devolution. Mbona muna force issues na hata hamna uwezo wa kuchagua Mayor. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani mayor anachaguliwa na nani Tz kama unajifanya unajua kuhusu system ya Tz
 
Mayor anachugiliwa na madiwani, ambao ndio wawakilishi wa kata, unataka kujua nini kingine.?
Ndio maana tunasema hizo local goverments ni mabaraza tu, Mayor ndio speaker hana any executive role, anategemea maagizo kutoka kwa serikali kuu.
 
Don't talk for the sake of talking. Kama Kuna devolution Tanzania then show us the budget for those regions.
You are either stupid or ignorant but better be ignorant because once informed you change but if you are stupid you are just a stupid you can never change that cause stupidity ni kama kipaji tuu hakibadiliki for instance you can either be short or tall and there is nothing you can do to change that.
 
What have you decentralized in Tanganyika and what are the yearly budgets for those decentralized units?

Kenya kwa mfano we have devolved health and each county sets its own budget allocation for health.

Lastly, can you tell us how many decentralized units there are in Tanzania, the heads of those units (governors maybe), their headquarters, flags, emblems, and such information?
 
Hawana hata Cabinet kwa hizo baraza. Lazima wapangwe na Central Government.
 
Unajitoa ufahamu kama kawaida yenu?

Mwenzako nimempiga na kitu kizito kichwani tayari

Uliyoyaulizia hayo hapo!







 
Our local governments do not receive any directives from the central government. What they receive from the central government is monetary funding alone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…