Mkuu TZ tumepiga hatua nzuri kwenye ICT Miaka mingi sana kwa O-Level, chukulia mfano hii shule inaitwa Hekima Girls: Hekima Girls Secondary School ipo kijijini huko Bukoba achilia mbali kina st. something lakini inatumia syllabus ya Tanzania: Hekima Girls Secondary School na wanapiga front-end na database query na mambo kibao.Kila primary school ina stima kwa kuanzia , how many pc do you have per student . Programming inataka mda labda mnataka kufundisha variable declaration, looping , conditions kwa theory . Huwezi mfundisha mtoto python halafu anaenda home ana pc wala internet . Japo wazo ni zuri sana . I hope kuwe na shule maalum haswa kuanzia seconda kwa Tanzania kufundisha programming , networking , A.I and so
Tulia, bado munafunzwa microsoft word na kutumia paint. Matters ICT bado mko chini, si unaona hata kwa hii picha hakuna cha maana wanafanya na hizo computer. Waliwekwa tu hapo wapigwe picha. 🤣 🤣 🤣 🤣Mkuu TZ tumepiga hatua nzuri kwenye ICT Miaka mingi sana kwa O-Level, chukulia mfano hii shule inaitwa Hekima Girls Hekima Girls Secondary School ipo kijijini huko Bukoba achilia mbali kina st. something lakini inatumia syllabus ya Tanzania Hekima Girls Secondary School na wanapiga front-end na database query na mambo kibao.
Inshu ni kwamba jirani wakifanya kitu lazima wapige kelele kinyama
View attachment 2200200
Mnatia huruma sn, yn cc tunapost miradi mbalimbali nyinyi mmebaki na kamradi kamoja ka mchina [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116]So it's no longer elongated? [emoji23] [emoji23]
Furahisha machoView attachment 2200169
Hadi huruma aisee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]I have realized that this expressway inanyima watu usingizi hapa [emoji23]
Wenzetu hawana amani hata. Mezeni wembe [emoji23] [emoji23]
View attachment 2200180View attachment 2200181View attachment 2200182View attachment 2200186View attachment 2200188View attachment 2200189View attachment 2200192View attachment 2200193
Msimbazi imevunjwa siku nyingiHii sio slum eti, hii ni makazi ya kawaida 80% ya jiji.., wao hawana slum [emoji1787] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
View attachment 2199786
Anaota[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nairobi BRT will work seamlessly with the Nairobi Commuter rail. Everything is adding up pole pole. Nairobi International Finance Center is dream come true.
Zipo nyingi mkuu.Mkuu TZ tumepiga hatua nzuri kwenye ICT Miaka mingi sana kwa O-Level, chukulia mfano hii shule inaitwa Hekima Girls: Hekima Girls Secondary School ipo kijijini huko Bukoba achilia mbali kina st. something lakini inatumia syllabus ya Tanzania: Hekima Girls Secondary School na wanapiga front-end na database query na mambo kibao.
Inshu ni kwamba jirani wakifanya kitu lazima wapige kelele kinyama
View attachment 2200200
Umeisoma hiyo syllabus au unamumunya tu maneno?Tulia, bado munafunzwa microsoft word na kutumia paint. Matters ICT bado mko chini, si unaona hata kwa hii picha hakuna cha maana wanafanya na hizo computer. Waliwekwa tu hapo wapigwe picha. 🤣 🤣 🤣 🤣
Nikisema munafunzwa basics za MS Word na MS Access unakasirika, si ndio hii wewe mwenywe umepost. 🤣 🤣 🤣 🤣Umeisoma hiyo syllabus au unamumunya tu maneno?
Form 3
View attachment 2200221
Form 4
View attachment 2200216
Sojaaaaaa. Umeshtuka, Dar hata surveillance camera's hakuna. Ukikuja Nairobi utapata culture shock.🤣🤣🤣Anaota[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kabisa huko kutakuw na culture shock, mpka police in a lazy nation anaporwa cm[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]Sojaaaaaa. Umeshtuka, Dar hata surveillance camera's hakuna. Ukikuja Nairobi utapata culture shock.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mganda youtuber mwingine ndio huyo Nairobi. Wanamwagika sana siku hizi.
Kwanza hakuna c## ni c# , halafu hiyo c# na c++ zote ni OOP ( object oriented programming) . Na kuanzia ni rahisi kujifunza python kuliko hiyo c++, mtu akimaster c++ anaweza jifunza programming yoyote maana ndio msingi wa oop . Kuanzia kujifunza labda scratch na python muhimu hilo kumfanya mwanafunzi apende programming c++ ni mziki mwingine budaaaa anaweza poteza interest kama sio passion yakeNani amekuambia kwamba lazima hawa watoto wafunzwe programming skills advanced sana? Python ni advanced sana, watoto wa college au university ndio wanasoma hio. Hii ni kuwapatia tu basic foundation in programming ili wakifika high school wawe tayari wana basics. Ukumbuke kabla ya kusoma object oriented programming languages kama Java au python mtu kwanza anaanza na simple structured programs kama C##. Ukielewa c## kisha unaweza kusomea c++ kisha sasa mtu asomee java au python. Halafu most of these programming languges hazihitaji internet connection, uwache kudanganya watu humu.