Kenya tumezoea ghorofa, tukisema hizo zenu ni tano usibishane. 🤣🤣🤣Ila jamaa sijui wew ni chizi au ni chuki au ni wivu sielewi u ar claiming kwamba kinachoonekana hapo ni gorofa tano kando ya barabara 👇View attachment 2199149and hizi ni nini.? 👇View attachment 2199150au hizi residential buildings zinapata gorofa status zinapojengwa kenya ila Tz gorofa ni skyscraper tu.? 😂😂😂 Don't be bitter bro, becoz u'll never change the fact that hili eneo ni bora
Sasa ujui ilo jinga ni shoga la zanzibar .wenzako wanatufuata mpaka pm. Sasa wewe kama uko na akili mtu kama geza unashindwaje kulijua ni *****Kwa nini wiki moja haiwezi kupita bila wewe kutaja mambo ya ushoga?,
🤣 🤣 🤣Simba SC imetolewa lakin imeiweka Tanzania sehem salama.. msimu ujao tutapeleka tena timu mbilimbili CAFCL na CAFCCView attachment 2199299
Bila shaka
CAFCL tutawakilishwa by Yanga SC na Simba SC
na
CAFCC tutawakilishwa by Azam FC na Namungo FC
🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿
Simba SC imetolewa lakin imeiweka Tanzania sehem salama.. msimu ujao tutapeleka tena timu mbilimbili CAFCL na CAFCCView attachment 2199299
Bila shaka
CAFCL tutawakilishwa by Yanga SC na Simba SC
na
CAFCC tutawakilishwa by Azam FC na Namungo FC
🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿
Kwanza hata sio tano, ni gorofa nne with three of them having less than 10 floors.Ila jamaa sijui wew ni chizi au ni chuki au ni wivu sielewi u ar claiming kwamba kinachoonekana hapo ni gorofa tano kando ya barabara 👇View attachment 2199149and hizi ni nini.? 👇View attachment 2199150au hizi residential buildings zinapata gorofa status zinapojengwa kenya ila Tz gorofa ni skyscraper tu.? 😂😂😂 Don't be bitter bro, becoz u'll never change the fact that hili eneo ni bora
Hata mupewe 10 slots you won't win anything.laugh at your country clubs ranking..
you’re in no. 19; one club for each competition, Tanzania is no.11; two clubs for each competition. Tanzania has a big chance to go even more top than Kenya
fortunately mmefungiwa na FIFA, so no club representatives for your country in next season
View attachment 2199374
So nairobi level yake ni Zanzibar ?🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Jaribu kutulia, mkona hadi lorry za mbao.
Soma Mambo yanayoifanya nchi kuwekwa katika kundi la "failed states", slums sio kigezo cha nchi kuwa "failed state"13% ya South African population wanaishi kwa slums lakini hatusikii wazembe wa kusini wakisema kwamba SA ni failed state. Hao ni takriban watu 7 million