Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Acheni ushamba nyie mbuzi wa kikunya, vandalism ni culture imeanza miaka mingi mno duniani since ancient Romans and Greek, huu sio uvumbuzi wenu, as I'm talking to you right now vandalism imekua ni kwa jiji zima sio tu kwa magari, graffiti ni culture za westerners back then, but now hata China inafanya powa zaidi, pitia hii video πŸ‘‡ . History of graffiti art in the US πŸ‘‡ . Hii trillion dollar art ilianza tangu kwenye homes huko New York ikafika kwenye subways mpaka kwenye magari.. ignorant kenyans πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, hamjui chochote kuhusu dunia mnaishi ishi tu kama ng'ombe .. urudi shule ukasome history kalio wewe
 
Hii matatu culture imewauma sana. 🀣 🀣 🀣
 
Starehe za jiji hizi. Dar has no vibe, jiji imeboeka kama ushago. 🀣 🀣 🀣










πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kwahyo hapa umeonyesha nini.? Dar is the city where EA's super Stars live, kila vibe unajua wewe lipo uku hata zile vibe mnaonaga tu kwa TV's pia zipo, u guys got nothing ya kushindana na DSM likija suala la usafiri and all them vibes you ar talking about
 
Nairobi has a soul from CBD to suburbs you can feel the vibe. Dar hakuna kitu cha maana hakuna area ingine nyinyi hupost apart from the small area surrounding CBD. Dar ni ushago kubwa tu, lazima muingie town kuona ghorofa. 🀣 🀣 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…