dopchinski
JF-Expert Member
- Mar 11, 2021
- 3,387
- 3,683
ooh no.. what a blunder.!...nataka tu ufunge macho😌 sahizi na u assume hii yote ingekua ni bongo....
View attachment 2195384View attachment 2195385View attachment 2195386View attachment 2195387View attachment 2195388View attachment 2195389
what a blunder.!...
Aliko Dangote angalifanya research kwanza kabla ya kuwekeza mabillioni ya fedha tanganyika.. atakuja tu ku regret sikumoja, coz kenya is where the whole world is heading to. as in kenya is the real deal..![emoji95][emoji91][emoji91]
View attachment 2195498
unadhani huyo ni mfanya biashara wakuuza githeri ,na unadhani alikurupuka tu kutoka usingizini na akawaza kufungua Tz kiwanda ghafla,ooh no.. what a blunder.!...
Aliko Dangote angalifanya research kwanza kabla ya kuwekeza mabillioni ya fedha tanganyika.. atakuja tu ku regret sikumoja, coz kenya is where the whole world is heading to. as in kenya is the real deal..![emoji95][emoji91][emoji91]
View attachment 2195498
Tanzania waki rebase next year baada ya sensa itafika above 100bnHaya GDP kutoka.kwa wapendwa wenu IMF
Naona Angola Imerudi kuwapiku..baada ya hela yao kupanda Thamani Tony254
Simon je Magu alikuwa anaonewa do we finally see the real figuers of Tz View attachment 2195153View attachment 2195154
wanaume ndo hawa. nanii..
Hiyo ni kazi ya manispaa kupendezesha jiji lakini ot seems bado wako usingizininow this is what i referred to as was a waste time, resources and unnecessary maintenance contracts in the days to come.. their was no need for this greenery thing. civil engineering mostly entail dealing only with, concrete, steel, quarrystones, sand, gravel, timber... unless flowering on ReinforcedConc. Structural Columns is a new topic.. i never heard tht in the engineering class
acheni comedy[emoji1787][emoji1787] hayo mambo ya WWEwanaume ndo hawa. nanii..
View attachment 2195524
Wawekezaji wanapenda kutulalia kwenye bargain sasa sisi tumeweka terms zetu nzuri tuu ambazo ni win win kwa kila mtu it is up to them to take it or leave. For now watakimbilia sehemu nyingine kwasababu ya system dhaifu ya hizo nchi ambazo zinawanufaisha.Sikatai kwamba mna potential sana hususan kwenye mining na ndio maana ninasisitiza kwamba muweke nguvu zenu nyingi kwenye kuendeleza hii sector. Ila kwenye gdp huwa hatuhesabu future economic activities, kama tungekuwa tunafanya hivyo basi DR Congo ndio ingekuwa the richest country in the world kwa maana wao wana akila aina ya madini. Kwenye gdp tunaangalia current economic activity, yaani mnazalisha nini kwa sasa? Wachumi hawana haja ya kujua kama mna reserve kubwa ya gold, hio haina maana yoyote ikiwa hamna uwezo wala teknolojia ya kuchimba madini hayo.
Jirani karibu kwa maoni 🔥🔥🔥
Kuna mtu aliomba kilometer hata moja!Hapo zamani 😂
Kwa umaskini hii jeshi imechukuwa number😂
Hehehe that's Tanzania for you. I call that army the poorest army in East Africa 😂Sasa gas mask ni ya nini kwenye parade? Waafrika tuna ushamba sana 😆😅😂
View attachment 2195360
Halafu wamesahau kuweka yule wa kubeba sufuria 😂 😅
Ongeza na moderna pianataka tu ufunge macho😌 sahizi na u assume hii yote ingekua ni bongo....
View attachment 2195384View attachment 2195385View attachment 2195386View attachment 2195387View attachment 2195388View attachment 2195389
Kuna mtu aliomba kilometer hata moja!Hapo zamani [emoji23]
I once told these fools that Kilimani has better roads than Posta. This picture is now proving my point to be right.Nairobi suburbs. Ile siku wabongo wataanza kupost maeneo wanaishii, nitafunga account. 😝
Wapo watu wenye qualifications za kukidhi vigezo vya kampuni hizo. Huwezi kusema kuwa nchi nzima haina watu wenye sifa za kuajiriwa. Pia hata kama wapo wachache, kuna job training zinafanywa na makampuni. And Kenyans are smart! Wame-approve curriculum ya coding kwenye shule zao tayari! Kwa hiyo utegemee watoto wao kuanza kuingia kwenye filed ya IT.wote tnajua ugumu wa kuajiriwa kwe hayo makampuni makubwa ya technology swali ni je wakunya wangapi wataajiriwa kiasi cha kuleta +impact kwe jamii?