Mi mwenyewe nliamiaga kwe nyumba yangu ikiwa haijaisha so io HAIBAMBI ata!Heri kukosa madirisha kuliko kuishi hivi na unajiita middle class. 🤣 🤣 🤣 🤣
nyumba hii ni imara kuliko zile high rise zinazodondoka kila siku! Hii nyumba inahitaji marekebisho ya paa na finishing tu!Heri kukosa madirisha kuliko kuishi hivi na unajiita middle class. 🤣 🤣 🤣 🤣
Nimekuelewa mkuu.magaidi wengi ni vimilitants yani hawako full training hata kutumia silaha nzito kama vifaru na mizinga ndio maana hadi sasa haujawai sikia Al shabab wanaoparate kifaru wala mzinga na silaha nzito wanazo penda ni zile Toyota na mashine gun juu Kiufupi magaidi sio hatari kama waasi
hii tofauti waasi ambao sio magaidi bali ni full soldier mwenye training zake sema tofauti yake wao wamesaliti jeshi na kuamua kuunda kikundi chao nje ya jeshi kwa hiyo usishangae kuona wako na nidhamu na silaha nzito
😂😂😂😂😂😂yeeleeeeeeewi😥Wakulungwa wa kaskazini mjitahidi basi hata kumwagilia, au Company ipewe maintenance contract pawe sawa muda wote papendeze zaidi. yakikauka hivi sio poa.
View attachment 2195102
hata haijafunguliwa!Wakulungwa wa kaskazini mjitahidi basi hata kumwagilia, au Company ipewe maintenance contract pawe sawa muda wote papendeze zaidi. yakikauka hivi sio poa.
View attachment 2195102
Jamaa umeandika Kwa uchungu Sana mkeo kakunyima unyumba nini🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Tanzania ni fukara, level ya Malawi.., watu wa mihogo na maharage., uchochole kila sehemu, yaani iko wazi sana.., kisa uzembe na ujinga, sio corrruption ama eti vita.., yaani mnapenda kijitetea sana!, Ghana is above Tanzania by far on standards of living, wacha kujikweza, mko way below., danganya asie ijua Tanzania., mko ovyo., pato la taifa kwa mwaka ni dhihirisho mwafaka.., mko wengi, nchi kubwa pato duni, ufukara and laziness detected 🤣 😂
Poverty inafanya watu wengi Dar waishii kwa abandoned houses, poor economy.nyumba hii ni imara kuliko zile high rise zinazodondoka kila siku! Hii nyumba inahitaji finishing tu!
Tatizo hawa nyang'au hawajioni.nyumba hii ni imara kuliko zile high rise zinazodondoka kila siku! Hii nyumba inahitaji marekebisho ya paa na finishing tu!
Hizi zenu hazina vyoo wala jikoni ndani. Maskini wa kutupwa Nairobi anaishi maisha sawa na middle class wa bongo.Mi mwenyewe nliamiaga kwe nyumba yangu ikiwa haijaisha so io HAIBAMBI ata!
Ukiangalia iyo nyumba imeezekwa upande m1 apo ilipo n kama inaendelea na ujenzi na ni standard kuliko hii👇 miboflo apaView attachment 2195103
Sikuizi mkienda chooni mnachamba ? Au bado mnaendeleza kibera perfume ya mafiiiTembea Kenya uache kulishwa propaganda ya Siisiiemu.
Onyesha vyoo huku!Hizi zenu hazina vyoo wala jikoni ndani. Maskini wa kutupwa Nairobi anaishi maisha sawa na middle class wa bongo.
Hii ni maisha ya 80% plus ya Dar housing, yaani wengi ni dwellers.,Hizi zenu hazina vyoo wala jikoni ndani. Maskini wa kutupwa Nairobi anaishi maisha sawa na middle class wa bongo.
watalaam wa mamboKfc awezi toboa hapa[emoji116] kwa mtindo huu atasanda mwenyewe View attachment 2194905View attachment 2194909View attachment 2194910
Ukitaka kujua watz tuma neema sana na nchi yetu ni kwamba mtz hakiwa nchi ya kenya au uganda ana hona fahari kujitambulisha kuwa ni mtz ila cha kushangaza waganda na wakenya wakija tz wanajificha awataki kujulikana kama ni wakenya au waganda wanajitaidi kujifunza kiswahili ili wasitambulike kwa nchi zao walizo toka , hapa ninapo ishi kuna mdada mweusi sana, siku zote nilikuwa namjua ni muhaya hata yeye anajitambulisha kuwa muhaya maana anajua kiswahili vizuri kabisa ,jana ndiyo nimejua kuwa ni mganda pure baada ya jamaa mmoja kuniambia ,Dada maisha ya Bongo yamemfurahisha harudi tena Ghana
Utafkir ata mnajua choo ni nini......Hii ni maisha ya 80% plus ya Dar housing, yaani wengi ni dwellers.,
View attachment 2195123
View attachment 2195124
Kumbe umejua maskini wa kutupwa Nairobi anishi maisha sawa na middle class wa bongo. 🤣 🤣 🤣 Hata kibera in 2022 watu wakona choo. Bongo mutaendelea kubaki nyuma.Onyesha vyoo huku!
Haya hayo unayo sema kabakisha nusu ajanunua kaokota chupa kajaza maji machafu ya bomba za kenya au maji ya visima ana tambia mtaani mimi nawajua wakenya awanunui maji ya kunywa ya dukani wanapo kuwa mitaani kwao, ndiyo maana kenya biashara ya chupa za maji zilizotumika siyo kubwa kama bongo ,vijana wanaokota viroba kwa viroba ya chupa za plastic kuzipeleka viwandaniHuyu mdada kachachuka na bongo hatari, ni kweli kwenye point ya battled water, kunyaland mtu akinunua maji ya chupa hanywi yakaisha, lazima abakishe nusu azunguke nayo siku nzima wajue kanywa maji ya dukani [emoji28][emoji28][emoji28]
Wakati Tanzania maji ya dukani hata chokoraa ananunua kwa siku hata Lita 10
ni washamba sanaMikunya haijui chakula mkuu
Yaje bongo yafundishwe namna watu wanakula na namna chakula kinavyopikwa
Hizo KFC hazitoboi kwenye hizi shows
View attachment 2194958
View attachment 2194959
View attachment 2194960
View attachment 2194961
View attachment 2194962
View attachment 2194963
u, Rent , Food services , Taxi, ..Taxes from the company which increase govt revenue ..Labda mie mshamba em naombeni faida za izo ofisi kua kenya znazo mgusa commonmwananchi
Us Tanzanians and our govt should either learn to attract this companies au kutafuta strong hold nyingineI made comments about the fact that Big tech giants are choosing Nairobi to open their proxy centers in Africa, and some people thought that Kenya was better off without those companies because they are from the capitalist west. How low does one has to sink to say such a thing? I just know it’s jealousy. I’m Tanzanian, but I know better and I speak the truth. Kenya is benefiting greatly from the presence of these firms. At first it was Amazon, but now more companies are following suit. Tanzania is yet to open her eyes to figure out a way to attract such companies.
And I just heard that Kenya approved the first coding syllabus for schools, a great move. If tech companies are going to establish their offices in Nairobi, you need Kenyans to actually get the jobs and exposure! Tech is the future….just ask India.