Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Alisema hivi Sasa Kenya inaikaribia South Afrika kwenye GDP, miaka ya nyuma GDP ilikua x14, hivi Sasa ni only x2[emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Labda nikusaidie balozi wa au mwakilishi wa serikali ya Tanzania Korea🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Kwahio akaona asimame kando ya Bendera ya south korea
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umeamua kuwatolea uvivu mzee

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Alisema hivi Sasa Kenya inaikaribia South Afrika kwenye GDP, miaka ya nyuma GDP ilikua x14, hivi Sasa ni only x2[emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Exactly, inaikaribia na akaweka facts kudhibitisha.., $116B vs $300B plus ya SA., so mbona inakuuma sana ukiskia hapo awali uchumi wa SA ulikua mara 14 ya Kenya na ila kwa sasa ni around 2.5 pekee, ama amedanganya na facts ziko wazi? nyie mko vipi?.., onyesha porojo basi kama sio wivu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Wewe ndio ungefaa kuitwa kondegang juu hile kukonda umekonda sio wa hii duniaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Yani wewe ni mifupa kwanza kichwa hadi miguuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£

 
Kwa hii thread Kuna wenye hawafai kuongelea njaa, watu kama hawaπŸ€£πŸ€£πŸ˜‚

 
Mimi nimemuambia atuwekee vitu vya maendeleo ambavyo Kenya inaikaribia SA Kama ambavyo GDP onavyokaribia ili tulinganishe pia[emoji23][emoji23][emoji23], tuanze na
1)Viwanda
2)Kilimo
3)Usafirishaji
4) Utalii
5)Reli na Barbara

Ninyi kazi yenu ni GDP ambayo haio ikani inachokifanya, ni maneno tupu. Ukisema upo na pesa, lazima muonekano wako uendane na pesa, Kenya mnapiga kelele za GDP lakina muonekano wa nchi na wananchi ni tofauti kabisaa

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Good morning ladies and gentlemen. Our one and only watchman in this thread is sending his greetings to you allπŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚



 
The good thing muonekano wa Kenya umeshinda wa Tanzania by farπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£. Try to imagine this is the biggest city in Tanzania and the best place of the entire city πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…