Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Teargas kuna siku ulikuwa unabishana na hawa malazy kuhusu which country has better health care system. Hii hapa imefunga debate.
Hata hao wanajua which country has a better healthcare. Juzi tu hapa waziri wao wa Afya alikuwa anabembelezana na Kenya to allow Tanzanians to be treated in Kenya 😂😂😂🤣

 
Unaharibu mambo! Upo kiboya sana.
Alafu kama watu tunaodebate nao ndio hawa kweli tunakazi. Mtu hanauhakika wa kula na kulala sehemu nzuri at this age

Ila wakenya washamba sana huwa naangaliaga channel zenu DSTv zile nguo wanazovaa super star wenu Mimi mwajuma Wa buza nimezivaa miaka mitano iliyopita.😅😅.
You can't use those guys to rate Kenya. Kenya their is nothing like eti super star tafuta events and so to see the real fashion icons
 
Hawa walilose hope na maisha. Walijenga flyover moja na interchange moja wakaishiwa pumzi, siku hizi ni povu tu.
 
Yaani unashamgaza Sana, kwa ujumla wakenya mnashangaza Sana mnapojilinganisha na nchi zingine kwenye "imaginations" badala ya kujilinganisha kwenye "real/physical achievements.

Ulipaswa utuambua vitu na maendeleo mliyokua mkiyatamani toka South Africa enzi hizo ambapo Kenya hamkuwa nayo, au mlikua nyuma Sana kwa SA ila Sasa hivi mnawakaribia au mumewapita.

Hebu tuambie ni maendeleo gani ambayo Kenya kwa Sasa inaweza kujilinganisha na SA japo kuwakaribia. Mambo pekee ambacho Kenya inafanana na South Afrika ni
1)Crime
2) Tribalism
3)Big percentage of white population
4)Land grabbers

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Teargas Ona ng'ombe ya Kinigeria kinalia na kutag hadi rais wao Buhari eti kwa sababu google wameamua kufanya Nairobi iwe research centre yao.
I usually feel happy to see my country giving Nigeria and South Africa sleepless nights. Who knew international companies will set up their headquarters in Kenya and leave Nigeria and South Africa? I don't want to talk about a certain country that doesn't have any international headquarter in their country.
 
Hahaha. Kwa nini nyie pia msiweke tax Holiday ili muipiku SA kwa kuvutia technology companies?
Sio kila nchi lazima ivutie wawekezaji wa sector zinazofanana, Sasa biashara itafanyikaje duniani?, Muhimu ni kwamba Tanzania tunaongoza katika uwekezaji(FDI), na tuñaongoza katika ujenzi wa miradi mingi ya maendeleo na kijamii kwa Sasa katika ukanda huu

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hata South Africa hawana barabara kama hii. Afrika nzima hakuna nchi yoyote ambayo ina barabara ambayo imepandwa creeping plants kwenye pillars. Anayebisha aweke evidence.
Kweli hawana barabara yenye car wash bwana mapesa
 
Ila wakenya washamba sana huwa naangaliaga channel zenu DSTv zile nguo wanazovaa super star wenu Mimi mwajuma Wa buza nimezivaa miaka mitano iliyopita.😅😅.
Ni venye Sisi wakunya tuna Maisha magumu,na roho zetu ngumu na mazingira tunayokaa ni magumu utakua na mudu wa fashion kweli siste hiyo hela ya fashion si Bora ni save nikanunue sukuma wiki na githeri😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Leave him alone. Utakula stress bure. No need to prove anything to him. You don't even have to post any pictures. He will never change.
 
Hio picha ya mwisho dyfre I have been to the same place. I went there in 2016. Hio place iko along Ngong road but nimesahau jina. Nimejua juu ya hizo lights around the ceiling. Niko na a similar photo in my phone. I may be wrong though. Correct me if I am wrong.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…