Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata South Africa hawana barabara kama hii. Afrika nzima hakuna nchi yoyote ambayo ina barabara kama hii.
kweli kabisa Tony254, hivi SA hakuna barabara inayo cheza juu kwa juu for an extended 27km.!! non-stop... kenya hoye.!👍🏽
 
Another blow to Nigeria.😀
Nigeria wanajiona wanaweza kushindana na Kenya kwenye mambo ya ICT. Lakini Visa, Microsoft na Google zote zimekimbilia Nairobi this month pekee 😁😂. Najua wanaskia kujiuwa. Nigeria hawapo level yetu likija kwenye mambo ya technology. Na ndio maana sisi ndio tuna-attract technology companies kubwa zote duniani. Hata Tiktok ikija Africa itafungua headquarters Nairobi.

Cc Geza Ulole
 
kweli kabisa Tony254, hivi SA hakuna barabara inayo cheza juu kwa juu for an extended 27km.!! non-stop... kenya hoye.!👍🏽
Especially aethetics. SA hakuna barabara iliyopandwa crawling plants on its pillars. If I am wrong someone can disprove me.
 
Kwa hivyo Lusematic alikuja Nairobi na kujipiga picha mbele ya KICC kama tourists wote wanavyofanya? Lusematic ungeniambia upo Nairobi nikuonyeshe maficho mazuri humu. Sio kuenda kupiga picha KICC mahali ambapo kila mzungu anakwenda. Lakini hongera kwa kutembea ukanda huu. Dunia hii haitaki mtu ajifungie sehemu moja kama kuku.
 
Kenyatta snr na university wapi na wapi hata diploma hakuwa nayo!
 
Teargas Ona ng'ombe ya Kinigeria kinalia na kutag hadi rais wao Buhari eti kwa sababu google wameamua kufanya Nairobi iwe research centre yao.
 
Ng'ombe nyingine hichi hapa. Kimzungu cha South Africa kinauliza CEO wa google kwa nini wamechagua Kenya na sio South Africa kuwa makao makuu ya research centre yao hapa Afrika.
 
Hata South Africa hawana barabara kama hii. Afrika nzima hakuna nchi yoyote ambayo ina barabara kama hii.
Tony unachekesha sn, SA road kama hiyo walijenga mwaka 60, yani unajilinganisha na SA kwasababu ya hyo road yenye elevated section ya 8km?
 
This year pekee Kenya imekuwa Africa research headquarters ya Microsoft, Visa na Google. Ikumbukwe IBM research centre pia ipo Nairobi kwa miaka kadhaa sasa.
 
Tony unachekesha sn, SA road kama hiyo walijenga mwaka 60, yani unajilinganisha na SA kwasababu ya hyo road yenye elevated section ya 8km?
Najua wana barabara za juu kwa juu. Nilimaanisha creeping plants kupandwa kwenye pillars. Wacha nirekebishe hilo message.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…