Sijui mbona unasumbuana na hawa watu?ππ 99% of Tanzanians in this thread hawajui what microbiology entails na pia hawajui the functions of the instruments and equipment in that room.Wewe hio inaitwa ventilation mzee, wacha ushamba. Lab ambayo ina incubators ya kupika bacteria lazima iwe na ventilation ya kutoa hio moshi nje. Hahaha ππ π. Anyway sisi wote hatujui kazi ya hilo dude. Hatujasomea course ya lab technologist. Muulizeni Teargas atawajibu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkurugenzi huyo bwana mapesa katokelezea na tai kali
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Usipoteze hii picha, niwekee nitaiitaji. π€£ π€£
Hehehe alafu utaskia wakisema ati Tz is the most urbanized country in the region kumbe their cities are than Kenyan villagesπππ€£Usipoteze hii picha, niwekee nitaiitaji. π€£ π€£
Eti hakuna slums Tanzania. Kenya kuna slums ila huwezi pata eneo hiyo size likikaa ovyo hivo hata kwa jiji kubwa kama Nairobi. Yani kamjiji kama mbeya hiyo sehemu kubwa hivo ni slum tupu. π€£ π€£Hehehe alafu utaskia wakisema ati Tz is the most urbanized country in the region kumbe their cities are than Kenyan villagesπππ€£
Masaa 24 upo JF Maxence Melo mumshukuru sn kuwawekeeni sehemu ya kujifariji na ukosefu wa ajira plus stress za maisha. This is too much aisee from 6 in the morning daily bila kukosa, duuhh [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Njugu man. Unauza njugu karanga ama boilo[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
Kama hospitali kubwa kwenu zinakaa hv basi mna safari ndefu.Chuo gani ina mashine kali kali hivyo? Kenya hakuna university ina mashine kali kama hizo. Hio lab pengine ni ya Kemri au hospitali kubwa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Amevaa tai ya wazee! [emoji23][emoji23][emoji23]
Mwenyewe anaona katupia kinoma!
Sasa kama unatembea kwa barabara na njugu utapata wapi time ya kuingia jf regularly?πππ€£π€£Masaa 24 upo JF Maxence Melo mumshukuru sn kuwawekeeni sehemu ya kujifariji na ukosefu wa ajira plus stress za maisha. This is too much aisee from 6 in the morning daily bila kukosa, duuhh [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Swala sio hiyo ni nini, swala ni kwamba limewekwa kilocal sanaWewe hio inaitwa ventilation mzee, wacha ushamba. Lab ambayo ina incubators ya kupika bacteria lazima iwe na ventilation ya kutoa hio moshi nje. Hahaha ππ π. Anyway sisi wote hatujui kazi ya hilo dude. Hatujasomea course ya lab technologist. Muulizeni Teargas atawajibu.
Try to imagine that's the best of the best ya Mbeya. Sasa sijui the worst panafanana aje? πππ€£πEti hakuna slums Tanzania. Kenya kuna slums ila huwezi pata eneo hiyo size likikaa ovyo hivo hata kwa jiji kubwa kama Nairobi. Yani kamjiji kama mbeya hiyo sehemu kubwa hivo ni slum tupu. π€£ π€£
Fundi maiko alihusika hpo[emoji2]Kuna professional anaekubali kufanya kazi mazingira ya namna hii? Hii lab ya chuo
View attachment 2192998
Sio kweliThose computers are attached to AAS (Atomic Absorbent Spectrophotometer), they are used for the analysis of metallic ions. For the counter book, that's where the records for your laboratory work is kept. Every analyst has his/her counter book and they are responsible for every writing inside it. Let's say I'm doing microbiological analysis of ten water samples and another ten food samples, how will I keep the records of these analysis if I don't write them down?
What do you know in an analytical field?
Hyo lab ya kawaida tu[emoji28]Sijui mbona unasumbuana na hawa watu?[emoji23][emoji23] 99% of Tanzanians in this thread hawajui what microbiology entails na pia hawajui the functions of the instruments and equipment in that room.
Sio kwel kwamba kila lab staff lazima abebe madaftari[emoji28]What do you know in an analytical field?