Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

While they bootlick South Africans claiming they are their brothers and they helped them get independence, here is what South Africans feel. I always tell my Tanzanian brothers, a perceived favor cannot grant you friendship to someone. I don't see them mentioning Tanzanians. 🤣 🤣




 
This can't be said of Tanzania, they are only known for drug trafficking in South Africa 😂
 
Try to grow up. Na zile dreads zako uliosha?[emoji1787][emoji23][emoji23]
Ss unataka kujifananisha na wewe ona ulivyoparara, ngozi imekosa nuru kabisa, masikio kama yanachomoka mzee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
mwanzo julius nyerere alikua tu mwalimu wa chekechea hadi intermediate ie. upto std5!
 
Njugu man. Unauza njugu karanga ama boilo🤣🤣😂😂
 
Siajabu lab ya chuo, hilo counter book la nini jamani. Kama ni kazini basi ni very low paid. Who uses counter book at work?
Chuo gani ina mashine kali kali hivyo? Kenya hakuna university ina mashine kali kama hizo. Hio lab pengine ni ya Kemri au hospitali kubwa.
 
Kuna professional anaekubali kufanya kazi mazingira ya namna hii? Hii lab ya chuo
View attachment 2192998
Wewe hio inaitwa ventilation mzee, wacha ushamba. Lab ambayo ina incubators ya kupika bacteria lazima iwe na ventilation ya kutoa hio moshi nje. Hahaha 😆😅😂. Anyway sisi wote hatujui kazi ya hilo dude. Hatujasomea course ya lab technologist. Muulizeni Teargas atawajibu.
 
Watu Sasa wameanza kuhangaika😂😂🤣. Mara ni lab ya chuo, mara ni clinic. Sasa sijui tutaamini gani na tuache gani😂😂🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…