muumpige chini kipi kibaya alichowafanyia mzee,au mihemkoMnaringa sana. Tunaweza change our mind. Punguzeni majivuno. Tunaweza kupiga huyu jamaa chini tena muanze kulialia tena.
Don't expect that hawker to know the difference between a nurse and a laboratory technologist. Nurse yupi hutumia incubators and dry ovens? Kwanza hizo vitu mbili huezipata Kwa ward.Huyo ni mtu wa lab. Sio nesi. Yeye anadeal na bacteria na virus. Huoni incubation machines pale? Anaweza kukutumia kifurushi cha kirusi cha ebola ukaanza kutokwa na damu sehemu nyeti. Usimchokoze wewe.
wakati yupo london unauhakika kuwa aliendakusoma,Yani mtu asomee University of London, London School of economics na Communist University of the Toilers of the East alafu ashindwe kusoma na kuandika? Mtu aandike vitabu 5 ashindwe kusoma na kuandika? Rais aliyekuwa the most educated at Indipendence of any African president ndiye unasema ni illiterate? [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Gear Tena imechange to appearance?😂😂🤣😂 Kweli unahangaika🤣🤣😂Una appearance ya kishamba sana no wonder una mdomo mpana cz umepitia hard life.
Mshamba ni mwenye anajipiga picha Kwa choo, unakumbuka hile picha yako ulipost huku?🤣🤣😂upo kishamba ,hata ukijiupgrade mzee bado unastuck kwenye ulocal
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Siajabu lab ya chuo, hilo counter book la nini jamani. Kama ni kazini basi ni very low paid. Who uses counter book at work?Wakuu mmeona buti la dokta hilo? Huyu haki ya mama atakuwa intern huyu mm nawaambia, oneni buti [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2192764View attachment 2192765
Lab everything has to be recorded and the counter book is to keep records. Saa zingine ulizeni swali before mjiaibishe. Next najua unataka kutoka excuse ya calculator 🤣🤣😂Siajabu lab ya chuo, hilo counter book la nini jamani. Kama ni kazini basi ni very low paid. Who uses counter book at work?
Na hizo computer ni za kazi gani? Na kama lazima uandike, karatasi za counter book ndio umeona bora kuliko zingine?Lab everything has to be recorded and the counter book is to keep records. Saa zingine ulizeni swali before mjiaibishe.
Sasa naelewa hujui anything in a lab🤣🤣😂.Kuna professional anaekubali kufanya kazi mazingira ya namna hii? Hii lab ya chuo
View attachment 2192998
Lab nlizotumia high school zilikua na well implemented infrastructures kuliko hizi.Sasa naelewa hujui anything in a lab🤣🤣😂.
Those computers are attached to AAS (Atomic Absorbent Spectrophotometer), they are used for the analysis of metallic ions. For the counter book, that's where the records for your laboratory work is kept. Every analyst has his/her counter book and they are responsible for every writing inside it. Let's say I'm doing microbiological analysis of ten water samples and another ten food samples, how will I keep the records of these analysis if I don't write them down?Na hizo computer ni za kazi gani? Na kama lazima uandike, karatasi za counter book ndio umeona bora kuliko zingine?
Kama ni kweli upo kazini nikushauri tu, nenda stationery ulizia something better than counter book. Itakusaidia hata kurecord dates n.k
Lab yako ya high haikuwa na fume chamber. Lab yako ya high school haikuwa na Dessicator, lab yako ya high school haikuwa na analytical balance.Lab nlizotumia high school zilikua na well implemented infrastructures kuliko hizi.
upo kishamba sana,
ligi yako ni appearance ya mama masakuu
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Hizo viatu vilivuma miaka zaidi ya kumi iliyopita, viliitwa four engo ''foengo'' [emoji23][emoji23][emoji23]
thubutuuu, mwenye historia ya kulia hapa ni nani? tulipunguza safari za KQ dar nairobi mlilamba mpaka miguu ya Magufuli...Mnaringa sana. Tunaweza change our mind. Punguzeni majivuno. Tunaweza kupiga huyu jamaa chini tena muanze kulialia tena.
Okay, Sina experience na kazi yako but uko vizuri kwelikweli, kubalance haya yote na kuchat jf.Those computers are attached to AAS (Atomic Absorbent Spectrophotometer), they are used for the analysis of metallic ions. For the counter book, that's where the records for your laboratory work is kept. Every analyst has his/her counter book and they are responsible for every writing inside it. Let's say I'm doing microbiology analysis of three ten water samples and another ten food samples, how will I keep the records of these analysis if I don't write them down?
Of course, ya chuo lazima iwe na vitu vingi kuliko high school. Nliwahipitia lab za Tumaini university KCMC ndio maana nkicheki hiyo yenu nao kama kibanda cha mkaaLab yako ya high haikuwa na fume chamber. Lab yako ya high school haikuwa na Dessicator, lab yako ya high school haikuwa na analytical balance.