Huyo ni mtu wa lab. Sio nesi. Yeye anadeal na bacteria na virus. Huoni incubation machines pale? Anaweza kukutumia kifurushi cha kirusi cha ebola ukaanza kutokwa na damu sehemu nyeti. Usimchokoze wewe.Picha haina evidence, aweke maelezo tujue uhalali wa picha, hii comment yako tu inaonesha huiamini hyo picha. Mtu yuko JF 24/7 anatoa huduma saa ngp, bora angekuwa ofisini mfano muhasibu tungempa excuse co hospital. Nurse anapata wapi muda wa kuwa mtandaoni masaa 24[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
sasa nchi ilikuwa na rais Kunyatta snr hajui kusoma na kuandika, unategemea awe na upeo wa kuja na slogan zake?Kwanza neno Uhuru alikua halijui kabla ya kuja Tanzania kuhudhurui sherehe ya uhuru wa Tanganyika 1961. Alipokuja Tanzania ndio alisikia hizo kauli za Uhuru na kazi wakati Nyerere akiwahutubia watanzania kwamba, kupata uhuru haina maana kwamba hatutofanya kazi tena, kumbuka wakati wa ukoloni wananchi walikua wakifanyishwa kazi kwa nguvu, kwahiyo wananchi walianza kuhisi kwamba baada ya kupata uhuru hakuna tena kufanya kazi.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅View attachment 2192666View attachment 2192667View attachment 2192668What if Dar Earthquake hit Nairobi?
How many buildings have collapsed in Narobi even without Earthquake? Tragedy in Embakasi, Nairobi after a 7 storey building collapses, 15 are feared to be trapped Condemned six-storey building collapses in Kariobangi south How many buildings have not collapsed in Nairobi even with earthquake?www.jamiiforums.com
Your ignorance is appalling.. do you really think a developing African country is energy sufficient?Superpower while you die of hunger, are you not stupid enough?. Ethiopia wamejenga bwawa kubwa la umeme lenye kuzalisha umeme mara tatu ya mahitaji ya umeme wanaohitaji, umeme wa ziada watauzia nchi za jirani ikiwemo Kenya, Sasa hiyo Geotherm ni kwajili gani?.Tatizo hamna akili ya kufikiria kwa undani, ukiona kitu kimeandikwa kwenye gazeti hamuwezi kufanya "Critical thinking", hovyo Sana ninyi
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hajui kuandika na kusoma ilhali aliishi ulaya kwa miaka karibu kumi? Bangi hizi huwa mnatoa wapi?sasa nchi ilikuwa na rais Kunyatta snr hajui kusoma na kuandika, unategemea awe na upeo wa kuja na slogan zake?
Hahahahaha, baada ya kumpa makavu now amejifanya kutulia ili aonekane yuko busy but anachungulia sahizi hana kazi yoyote fukara huyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyo ni mtu wa lab. Sio nesi. Yeye anadeal na bacteria na virus. Huoni incubation machines pale? Anaweza kukutumia kifurushi cha kirusi cha ebola ukaanza kutokwa na damu sehemu nyeti. Usimchokoze wewe.
Muwe na akili wakati mwingine, ni mpumbavu gani atasaini $800mil ili ku generate umeme wa 150MW?Your ignorance is appalling.. do you really think a developing African country is energy sufficient?
And if so, why spend billions trying to acquire that which you have in surplus..
View attachment 2192717View attachment 2192718View attachment 2192719View attachment 2192720
How drainage is done on an elevated road in two Cities.
NAIROBAE 😀
View attachment 2192615
DAR CITY😎
View attachment 2192620
Pale mjini Nairobae kama mvua inanyesha na maji yanadondoka kwenye hilo bomba mi napita hapo na kufanya Car wash😀
Tony254 hebu kaweke ndoo uteke maji!
Umuweke ebola virus kweny hyo Lab[emoji23]Huyo ni mtu wa lab. Sio nesi. Yeye anadeal na bacteria na virus. Huoni incubation machines pale? Anaweza kukutumia kifurushi cha kirusi cha ebola ukaanza kutokwa na damu sehemu nyeti. Usimchokoze wewe.
NDINDA amemwaga madollar huku akatisha watu sana.Hahahahaha, baada ya kumpa makavu now amejifanya kutulia ili aonekane yuko busy but anachungulia sahizi hana kazi yoyote fukara huyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Integrated ViaductMchina kajenga viaduct ina "carwash"...! Mazee wa Kibera watakuja ku-fetch water hapo!
Nilijua mkojo wa ng'ombe kumbe automated intergrated car wash with viaduct "the one and only in East and Central Africa"
MalayaFanya kama hivi [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2192637
😅😅😅😅😅 Haujaweza kabisa kuamini? Hio ni shida yako baba...Muwe na akili wakati mwingine, ni mpumbavu gani atasaini $800mil ili ku generate umeme wa 150MW?