Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,626
- 7,180
Yani kuna bandari , mahoteli ya kifahari ila watu wanasumbuliwa na njaa daahHuko lamu ndugu zangu kabisa,nishafika huko,dhiki ya huko uisikie tu!sasa kama lamu ndio namna turkana si ndio balaa kabisa!
Basi nchi imewashinda ni bora waigawe kwa somalia.Huko lamu ndugu zangu kabisa,nishafika huko,dhiki ya huko uisikie tu!sasa kama lamu ndio namna turkana si ndio balaa kabisa!
Pipeline yao tunayoUK chilling with Uganda's next president.
Duh Yaani hata inasikitisha kiukweli, nashangaa hawa wapumbavu huwa wanajitapa nini sasa, em angalia nyumba zaoHivi mkiwa na njaa mnafikiria vipi?
Muna magari lakini chakula hamuna sijui utajiri gani huu.
Duh Yaani hata inasikitisha kiukweli, nashangaa hawa wapumbavu huwa wanajitapa nini sasa, em angalia nyumba zao
Kama unatoka kwenye nchi ya aina hii kwanini unadharau? Sio umaskini tu wa makazi na hali lakini umaskini wa chakula ni mbaya Sana na unadhalilisha
Ngoja waje kusifia Expressway ya millions of loans huku chakula hawana
Iko wapi hiyo pipeline?Pipeline yao tunayo
[emoji23][emoji23]
Kwamba wanauhakika wa kufa kuliko kula[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Udaku za mtaani.Shamba la familia. [emoji23][emoji23][emoji23]